asas

asas

sintah

sintah

SAY SOMETHING

Ms Manongi
stunning
the Unstoppable
beauty+brain= this beautiful lady


Thursday yako ipo vepeee? hatu throw back Thursday , jamani nimepungua mnooo mie mwenyewe mpaka najipenda, ukinikuta katika foleni sasa  utatamani unichape maana naji feel haaaa ndiwooo....

43 comments:

 1. Kama hapo ndo umepungua basi ulikuwa kifutu dada Sintah. Halafu kwanini hutaki kuripoti wapigwa risasi wa Houston na kesi ya ubakaji ya dj Rommy? iz zea eni ploblem?

  ReplyDelete
 2. nikikukuta katika foleni ya nini??

  ReplyDelete
 3. PUNGUZA NA MIWAN SHOST IMEKUVAA.TAFUTA SAIZ NDOGO

  ReplyDelete
 4. Daaaaaaaaaaaaaa kweli umepungua hadi raha. Umependeza sana. Jitahidi usiongezeke tena maana ukinenepa ni mbaya sana. ,

  ReplyDelete
 5. Kuna watu wanakimbila topic ya power of pussy. bila kuwa msafi hiyo power ni ndoto. mtu unashindia kuchambia tissue siku nzima bila kupitisha maji wategemea nn hapo kama sio kukimbiwa kila siku. HII NI KWA WADADA WOTE.KUWEN WASAFI BANA. NA MUOGE ATLEAST MARA MBILI KWA SIKU.

  ReplyDelete
  Replies
  1. MAKUBWA !
   KuCHAMBIA KARATASI NI KUKWEPA KUCHEZA NA MAVI MKONONI.
   USIWE MSHAMBA WEWE . MIE NAISH DAR NA TUNAWEKA TOALET PAPER . WE KA HUNA UWEZO ENDELEA KUCHEZEA NAVI KWA MKONO UTAEKEWA TU MBELENI,TOFAUTI YA KUANZA KUCHAMBA NA KARATASI AU KUTUMIA MAJI YA KOPO.
   Google Japanis toalet

   Delete
  2. Kunawa maji lazma kwa mwanamke la sivyo utaishia kunuka K tu siku nzima.

   Delete
  3. Uyu Dada itakua kundu lake lina matatizo kwa nini liache mavi unaweza ukatumia tisue baada ya kunawa ili chupi isilowane sio kabla ya kunawa uchafu tu akuna eti kwa sababu unapesa ovyooooo

   Delete
 6. Vigimbi sasa amazing

  ReplyDelete
 7. UMEPENDEZA SANA MS MANONGI! KUNA WATAKAOPONDA MANA HAWAPENDI KUKUONA UMEPENDEZA NA UKO HAPPY

  ReplyDelete
 8. Kumbe sio mtaa wa pili tu anaependa wembamba 😂😂😂😂😂😂😂
  umependeza Though Christina

  ReplyDelete
 9. uso umekushuka kama mbuzi wa hitma!

  ReplyDelete
 10. Hii ni kwa wakaka wa kibongo wenye mademu wakizungu..Sijui ni ushamba au ndo kutaka kujionyesha kwamba wameendelea. Mara nyingi wakiona waafrika wenzao ndo watajifanya wako soo in love. Kulambana mamidomo kwenye mabasi matreni kwenye ngazi za umeme. Na wasivojua kukiss sasa unaona kabisa mdada wa watu anavovutwa tu lipless twake mimate kibao. Wasivokuwa na haya hata wakialikwa kwa waafrika wenzao kutwa Kulambana mamidomo na hao zeruzeru wao hata wakati wa kula. Aibuu. Wazungu wenyewe wenye akili timamu hawafanyi hayo. Mnatia kinyaa mnajiona wajanja kumbe malimbukeni. Ukiskia yaraa ujue limempata mtu la pumbru.

  ReplyDelete
  Replies
  1. na kutoga masikio yani mishambaaa inaiga wala hainogi yani asilimia 90 ya wabongo majuu wametoboa masikio yani ukinitokea nakutoaje baru mfyuuuu...

   Delete
 11. jamani any idea kwa aliyefanya biashara ya wedding gowns, process na soko lipo vip.
  natal kufungua duka maeneo ya tabata bima.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mtafute Sintah private maana anaexperience na hii biashara aliifanya sijui imekuwaje tena naona kimyaaaaa

   Delete
  2. swali hili muulize sintah manake anauza magauni ya arusi ila siku hizi simuoni akitangaza biashara yake sijui ndo kufulia kama mtaa wa pili au?

   Delete
  3. Im living in the Netherlands, can ship nice and chic gowns and wedding accessories for you. email me clicksomemore1@yahoo.com

   Delete
 12. sio kuponda miwani mikubwa sana ht km ni fashion imepitiliza mwaya

  ReplyDelete
 13. Looking good girl...Beauty + Brains indeed

  ReplyDelete
 14. SINTAH PLEASE ANDREW SANGA AMEFARIKI HOUSTON .Alikuwa anaipenda hii blog mnoo .HEBU Tangaza kifo chake ili watu wachangie

  ReplyDelete
 15. 922 likes
  14h
  didashaibuMAPENZI MAPENZI ILI NISAKATA KUBWA LIMETOKEA NYUMBANI KWA HAMMER Q NA MKEWE SALHA KITIM TIMU CHA ZUKA HAMMER Q AVUNJAA VYOMBO VYOTE PAMOJA NA KUPASUA MAKABATI NA VYOMBO PIA NA MAFENI KILA MMOJA ASEMA HAMTAKI MWENZIE UNATAKA KUJUA SAKATA HILI LA MKE NA MUME NA NI WANAMUZIKI WA TAARAB NCHINI KESHO KUANZIA SAA TISA KAMAILI NDANI YA MCHARAZO UTASIKIA KUTOKA KWA WAPENZI WAO KUHUSU NDOA YAO KUVUNJIKA TUNE 100.5 TIMES FM KUANZIA TISA KAMILI ....

  ReplyDelete
 16. hiyo miwani kama wabogoyo kwenye video ya mr nice kikulacho

  ReplyDelete
 17. hayaaaaaaaaaaaa! Nyampua shemeji Dai anakitu kipyaaaa mwambie shoga yako bi masumbuko hayuko peke yake. kiki zooote bwana kachukua mtz mwenzie upo nyonyo!

  ReplyDelete
  Replies
  1. wee acha kumuita mwnzio nyampua subiri upate mume mwenye jipua kama kimba la mavi wakati wa majamboz utakuwa ntahisi uko na kinyago ila usijeshangaa mwanao ndo akawa nyampua, nyie mabinti wa vyuo vya uchochoroni mna tabu sana sijui mnajifunzga nii kwenye hivyo vyuo koko vyenu kutwa mko insta kutukana na mashauzi mavi mavi akili 00 mfyuuuuuuuu…..

   Delete
 18. he! kiki zoote na kuzaa juu, baba tifaa kapindua kitoto kibichiiiii.kachoka na K. ya Ajuza pole zake.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ajuza mamako zari hawezi kukuzaa wewe kazaliwa mwaka 80. ina maana wanaochika na watoto huwa wanatafuta kiki? acha kufikiria kwa tigo paka shume wahed!

   Delete
 19. sasa aache kumtukana Wema, kashapata mke mwenzie tena kama mwanae wa kwanza. aibu ya mwaka

  ReplyDelete
  Replies
  1. nyie timu mavi mavi ndo muache kwenda kwenye page yake na kumtukana wala hana time na huyo miss matako mabonde wenu asojitambua mwenye timu ya wachovuu dhiki zimewajaa deile ndoa mana mnatukana wenzenu deile.

   Delete
 20. Bwana sintah tuwekee news ya kifo cha Andrew sanga houston .

  ReplyDelete
  Replies
  1. uatafuta umbea tuu kamuweke kwenye page yako mfyuuuu

   Delete
 21. Sintah hujasikia ya Mwanza??? Yule Siwema kawekwa ndani jana.. rumande mama weeee. Kumbe ile kesi haikuisha, na bado aliendelea kumblack-mail yule baba.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kahukumiwa kifungo cha miaka 2 yuko Bitimbaaa

   Delete
 22. hivi leo hamna topic mpya?

  ReplyDelete
 23. HAHAAA USHAMBA MZIGO. WEWE MCHAMBIA TOILET POLE WEE NDO WALE WALE MLIOKUJA MJINI KWA MALORI YA KABECHI. kwa hiyo hizo japanese toilet ndo zinakukwepesha na mavi ee au ndo zinakujazia uvundo. yaan mtu upo home kwako bado unachambia toilet pepa kisa waogopa kushika nyeti ina uchafu.kwan maji ya choon kaz yake nn sasa.MJANJA MY FOOT. ndo kukaribisha fungus huko

  ReplyDelete
 24. kuna watu wana wivu pole zenu. zari ndo kampata dai hasara kwenu mliomgeuza buzi na kutafutia kiki.

  ReplyDelete
 25. sintah nimependa topyako umenunua wapi

  ReplyDelete
 26. Sinta mpare mwenzio anachanganyikiwa kule kamuokoe. Sijui ni kukosa kazi? Yaani mara bunge live, mara mume wa shamim, mara lugumi? Hivi anavyosema Rais amtumbue lugumi, kwani lugumi ni mfanyakazi wa serikali au wa shirika la Umma? Mimi zamani nilidhani ana akili kumbe ni kutaka sifa tu aonekane anajua.

  ReplyDelete
 27. siwema kesha waka miaka miwili tayari.....

  ReplyDelete
 28. Eti ni kweli Dai ana kifaa kipya?

  ReplyDelete
 29. kichwapanzi endelea kuikomesha hiyo goromiko yani haipumui inajikaushaa la vichambbo vinamuingia bara baraa…… kutesa kwa zamu

  ReplyDelete
 30. Wewe nyamkomwe mbona uwachiii comment

  ReplyDelete
 31. Sinta bwanaaa!! mmmh Ms Manongi,stunning,the Unstoppable,
  beauty+brain= this beautiful lady!!!!

  ReplyDelete