asas

asas

sintah

sintah

WEEKEND NJEMA

Leo naomba tuzungumze swala zima la matusi na account fake kwenye mitandao especially Instagram, basebo na banyabo hivi ukifurahia mwenzio ananyolewa jua ipo siku na wewe utanyolewa tuu, hivi unajua kwamba hizi account za IG huwa zinauzwa? mtu anatukana weee anapata followers halafu baadaye anawauzia watu, sasa wewe unayeuza na aliyeuziwa na hii cyber crime mnajiona mpo salama? kwanini msiwe kama sisi tu ukitaka kumlipua mtu unalipua sio lazima upite nyuma ya pazia kwa acc fake, yaaani nasikia zinauzwa mpaka Mil 1 kweli mujini mipango....

Tahadhari kijana/dada usinunue account kwa mtu aisee matatizo yatakayokuja kukuta utaimba haleluya kabla ya pasaka shauriro usije ukasema sijakwambia na hivi TCRA wametumbuliwa haaaa wanauchungu balaa, kuweni makini mno kwenye account zenu especially Instagram....

24 comments:

 1. Swali langu ni hili....kwanini wanamkomaza kichwa tiffah dangote kwa kumlazimisha tu-nywele tubane Mara mabutu Mara rababendi kichwani,kwanini? Mtoto hata mwaka hana tayari nywele vinavutwa kama mavuzi ya mamae....kiruuuuuh..baby girl cute tho!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tiffa alishakomaaa toka tumboni we HUONI sura ,midomo
   Yuko kitandale tandale.
   Mwache asuke muda si mrefu utakuwa mwendo wa rasta na weaving
   ANGALIA vitoto vya kiganda,vizaire nk one years old rasta

   Delete
  2. Kwani mama yake humjui umuulize?

   Delete
  3. utakosa mbingu kwa uchungu na wivu. sasa mtoto mdogo kama yule kakukosea nini? jamani tuache ushabiki wakati mwingine. mwogopeni Mungu.

   Delete
 2. post ya baba sasha haina koment.keshachikwa huyo.akrudishie mr blue wimbo wake. sugu ubunge kaupata kwa kuilalamikia clouds unyonyaji wa wasanii ila nae anaelekea huko huko kukandamiza wasanii. HII NI KWA MUJIBU WA INSTA SO SIO OOT

  ReplyDelete
  Replies
  1. ebu tupe account yake tupitie na sisi

   Delete
 3. waiiiiiii watajua wenyewe.

  ReplyDelete
 4. weedau hapo juu.NIA YAKO KUBWA NI KUMKASHFU ZARI.mwache tiffa bado mtoto kama ulivyosema.hizo nywele unazokashfu ndo wanaanza nazo watoto wote ukiwemo wewe utoton. HALAFU SION CHA AJABU KUHUSU MAVUZ MAANA KILA MWANAMKE NA MWANAUME WANAYO SO KAM WEWE HAUJAJALIWA KUWA NAYO POLE.

  ReplyDelete
 5. TCRA waanze na kichwapanziii na wengine wote wanaotukana matusi ya nguoni

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kichwa panzi hoyeeeeeeee. waanze nae ili iweje? acha amkomeshe ajuza yule kwanza.

   Delete
 6. Bado kidogo hili jipu litatumbuka.Kwa wale wajasiriamali usisahau pia kupitia MUKEBEZI BLOG au bonyeza hapa shareinfogrouptanzania.blogspot.com. Jifunze jinsi ya kutengeneza sabuni za unga na mengine bure kwenye mukebezi blog.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwendraa blog lako limejaa habari za hatari tupu najuta kuingia

   Delete
 7. TAFUTA SABABU MWENYEWE SINTAH !
  WE NDO UNAPENDA KUBEBA YA WATU

  ReplyDelete
 8. tcra wangeanza na mtaa wa pili. kwa kuchafua watu anaongoza.kichwa panzi ana samaraiz tu au kukutafunia wewe unayeshabikia fake life ya mtaa wa pili.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Fake kweli mdau, naona na mdomo sifuni nao ushafekishwa. Mwambie kujifanya anataka bunge live, sijui anadhani kila mtu mama wa nyumbani atakaa kuangalia bunge, pumpbav. Kwanza bunge live ni wkt wa jk, mbona kwa mkapa halikuwako na maisha yaliendelea? Kila mtu na style yake, hii ni enzi ya magu mtoto wa mkapa, period.

   Delete
 9. kichwa panzii sijui kichwa uboo hajiamini na anamuogopa Mange ndo maana yuko nyuma ya pazia. angejitokeza na picha yake angeweka kama kweli anataka ugonvi. ni hayawani hata fans hana. halafu matusi yenyewe hajaienda shule. ndo maana Mange anampotezea.

  ReplyDelete
  Replies
  1. uogopwe una ni weee umechambwa ukachambika kwendraaa na feki laifu mjumbaa nyooo ulipatwa kweli wee una maisha ya kawaida sanaaa nenda kalalie govi la separate husband wee kuchamba watu unaona poa eeh ukichambwa wee unakimbilia fbi na badooo hadi ujitundike kama dingi yakee!

   Delete
 10. WAANZE NA HILOHILO LI KICHWA MDUDU,WEWE NAE UNAEMTETEA NI WALEWALE...SHE IS A COWARD KAMA VIPI AJITOKEZE KAMA ANAJIAMINI,SHE IS JUST A LOOSER

  ReplyDelete
  Replies
  1. pita hiviii talaka rejea wahed kama mkuki kwa nguruwe mtamujee?

   Delete
 11. Hata wabongo pia katoto kadogo two year kanasukwa rasta na weaving kama Yondo Sister. Binadamu tulivyo wanafiki unakuta mtu anakoment, eti mtoto kapendeza. Kapendeza au ni kumkomaza sura mtoto? na wengine wako ulaya wala hawaona kuwa hilo ni tatizo sasa sijui viza walipataje na ukilaza wao

  ReplyDelete
 12. alaf wote wanao changia kwa kichwa panz akaunt zao private hhaha kama wanawake keel wekan public akaunt

  ReplyDelete
  Replies
  1. onyesha na yako basi kama si private nyani haoni makalio yake nyambafff nenda kasuck matako ya kibibi jitu ana nini kwanii? au ni zile chupp utoko ? mfyuuuuuu…..

   Delete
 13. Nampa pole beachboy kwa kurudi bongo na pole kwa linda mchatta nyodo kwishney upumzike sasa kuolewa umezeeka ngoja watoto wazuri wamdake

  ReplyDelete
  Replies
  1. tiririka basi luv? beach boy ndo nyani ngabu wa jf nini? manake anajidai mzungu flani hivii kutwa kutongoza k za bure halafu hasira anamalizia wanawake wanaopenda pesa, kama vile yeye hapendi mfyuu za nyani ngabu mpenda vya gharama kulipa hawezi kaa kando bro angalia show kama hujui kuhonga kula kwa macho! imeandikwa wanawake tutazaa kwa uchungu na wanaume majasho yenu tutakula sasa mnalalamika nini tukiwachuna?

   Delete