asas

asas

sintah

sintah

ALIYETUKANWA NA MKE WA WAZIRI APANDISHWA CHEO


Jamani hii ni serikali ya awamu ya tano, hakuna aliyejuu ya sheria ndio maana hata Rais alisema mshahara wake, sasa wale my BF sijui ni fulani wakikamatwa tuu wanaanza kushika simu na kutaka kupiga mwanawane imekula kwenu, hii ni serikali ya Magufuli haina shobo hata kidogo inatenda haki bin sawa, sasa wewe endelea kuota ndoto za linacha oooh nitatoka police ama ooh sikamatwi imekula kwako kipindi cha ubwete kimeshatoweka sasa, hapa ni kazi tuuuuu in Magu's voice..... mazito na ma big ndani yake kama nawaona wanawake wa vigogo mliokuwa na nyodo million sita mnashushukaje maana mkifanya makosa mnakimbilia kupigia simu wanaume zenu na wakati mwingine wala si wake halali ni mahawara tuu, maana mahawara huwa wanakelele sana na wanapenda kuwa recognized.

3 comments:

 1. Heading na maelezo uliyotoa hapo ni mafuta na maji. Jifunze kuandika story. Jifunze hata kupitia kwa mama mzunguu japo alikuwa anaandika gazeti ila alikuwa anatoa habari inaeleweka.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Habari ya mama mzungu inaeleweka kwa sababu anayoandika ni fekeroo anayapangilia kutudanganya wasomaji siamini chochote anachoandikia fekeroo maisha maigizo

   Delete
 2. Kichwa cha habari kimenivutia nakuja kusoma ulichoamdika tofauti punguza mihemuko kidogo

  ReplyDelete