asas

asas

sintah

sintah

DR ASHA ROSE MIGIRO ATEULIWA KUWA BALOZI UK

Balozi wa Tanzania-UK

UK ni Nchi ambayo ina uchumi mkubwa sana na lazima upeleke kichwa haswa chenye kujua maswala ya Diplomasia , ndio maana Rais Magufuli hakuwa na papara na hatimaye akaona Dr Asha Rose Migiro ndiye anayefaa katika hiyo nafasi ,,, hongera sana Dr Asha Rose, natumaini watu wa UK mmepata mtu muhimu sana pale ubalozini.

3 comments:

  1. mtaa wa pili katapikaje uwiiii,jamani yule dada nahisi hayuko vizuri kabisa mentally hahahahaha khaa! mara siasa mara sijui zari diamond mara shamimu na mme wake yaani mvurugano,jamani halafu ni mbayaaa mungu naomba nisamehe..na ile minywele kha! hivi kweli 24 hours mtu upo instagram kucheki kila account nini kimejili...to you old looking lady where is bongolious n shopaholic sijui nini khaaa! mara mia hata afanye yale yalikuwa na msingi,hahahahahhahaa maskini wenzake kile kigroup chake anawasakama daily ...wapo vizuri hadi raha,hata kama kuna mambo wanafanya hayako sawa but we like the respect n hustle they always shows...congrats to mama migilo Sinta umeongea vizuri sana kuhusu huyo mama na balozi ya uingereza,

    ReplyDelete
  2. Sasa kademu dizaini ile ama ya Mwamvita ndio wanapendwa na wazungu maana wanajifanya ni wazungu shinda wazungu wenyewe.Umeona anavyotisha enheee, sasa yeye anajiona eti super.

    ReplyDelete
  3. Lakini Shamim naye ana issues, wewe utalazimishaje mapenzi na jambazi ili tu upate kutoka kimaisha? Yule mumewe anajulikana kwa usambazaji sembe na pipi zinazolostisha watu kimaisha hatimaye kukutwa na umauti, Shamim anajifanya hili halijuwi? Kwa kweli mimi nimemdharau sana Shamim kwa hili.

    ReplyDelete