asas

asas

sintah

sintah

FEW DAYS TO GOOOOOOMsije mkasema oooh hatuna nguo wajameni hii show tumewatangazia tangu na tangu sasa kazi kwenu mvae mmpendeze tusijetukakodoleana macho huko jipdoe podooo, kumbuka ramadhani inakuja sasa hizi ndio vunja jungu zenyewe hizo, tukutane mlimani city tukaburudike na Lady Jaydee komandoo jide, kwanza kafanya kiingilio sawa na bure sasa mpewe nini zaidi ya kuja kujaza kwa nguvu mpaka AC zitetemeke ....

3 comments:

  1. Kwaiyo kelele za jana ndio ulitaka leo umpigie debe mkomao msipende kuchukua madhaifu ya wenzenu kujinufaisha hakuna binadamu aliye perfect

    ReplyDelete
  2. Mkomao???wee utabakia hapo ulipo milele acha kashfa na chuki,,,kumbuka haya maisha tu na sote tunapita uwe laini au mkomao mshukuru mola aliye ku umba.

    ReplyDelete
  3. Jide wee komando na suport tutakupa Ze Ndi ndii,

    ReplyDelete