asas

asas

sintah

sintah

FLASH BACK FRIDAY.....

Hellow ka FBF ketu amazing na mamaa Zurii....la vie est belle....

10 comments:

 1. mwenzenu niko ughaibuni kubeba mabox mwaka huu unakatika ila sina bwana wala rafiki yani shocti napataje tabu , niko lonely sanaa sasa wenzangu wa huku mnapataje wanaume wa maana nipeni tactis basi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Uko nchi gan state gan tukusaidie je unatoka out unaenda kusari au tupe mwelekeo

   Delete
  2. Rudi ukaoge dawa LOOOH unamkosiiii
   Tena usije hapa utatuambukiza

   Delete
  3. Uwiii kumbe Lemutuz alikuwa baharia???
   Ndo maana AKILI na mavazi yako shot
   Mabagaria kwisnei
   RIP HUSENI MACHENI

   Delete
  4. unataka kuhang na watu sampuli ipi? kama ni wabongo tahadhari kabla ya shari unaweza kuhang nao ila usitoe yako ya moyoni kama mama wa kwa obama aliyefulia hadi sisimizi anajua. stress zake anahamishia kwa wabunge he he hee … uko nchi gani? anzia kwenye community yenu huwa kuna kuwaga na vishughuli vya hapa na pale kila wiki hasa weekend basi kuko utakutana na watu mbaliambali mtaanza kuchat mdogo mdogoo hadi kieleweke.
   au kama unataka waswazz we nenda tuu club za waafrica mara moja utawajaza kwenye fuso. na ukitaka wa maana zaidi tembelea maeneo wanaocheza gofu iko siku utalamaba bingo huko.

   Delete
  5. Nakaa maryland yani kama nuksi vile ni mimi mbeba maboksi

   Delete
  6. mdau 6:18 mbavu zangu mieee..mweleze chamkosi huyu asituambukize na sieee..no rafiki no mupenzi. sasa ukipata mpenzi ndo umfanye pia rafiki huyo huyo si utamtoa nyongo. Hatukutafutii ng'o. Kapige goti kanisani au msikitini utapata jibu wakati muafaka. Humu umepotea njia. Tunakuogopa!!

   Delete
 2. mko kama vizee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Weeeeeeeeeee kijana weka sura yako tuione kama ujafanana na masudi sura mbaya

   Delete
 3. STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda kiki kuliko kusaka fedha kitu ambacho yeye hakifanyi.
  Akizungumza na gazeti hili, pasipo kuwataja majina, Lulu alisema anashangazwa na tabia ya mastaa wengi kuwa ‘bize’ kutafuta kiki kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii badala ya kukutana pamoja na kufikiria ni kitu gani wanaweza kufanya ili waendelee kimaisha.
  “Jamani mimi nashangaa siku hizi huku mjini mastaa wanatafuta kiki sana kuliko kufikiria mbinu ya kusaka hela yaani ni shida kabisa, tubadilike jamani, muda unakwenda,” alisema Lulu. hapa kawalenga kina Black beuty, maana anatafuta kiki haswa, life imemchenga.

  ReplyDelete