asas

asas

sintah

sintah

HONGERA NDUGU RAJAB


Asalaam, ndugu yetu Rajabu amefanikiwa kuwa katika sita bora katika mashindano wanaojua kusoma quraan duniani, ni ushindi mkubwa sana kwa Tanzania na haswa waumini wa kiislamu, Rajab amejitahidi sana maana zilikuwa nchi 95 zinashindana duniani na yeye akaibuka kidedea no 6..... Mshindi wa kwanza ni Iran, wapili ni Afghanistan, 3. Indonesia, 4.Germany, 5.Holland, 6.Tanzania... Alhamdulillah.

30 comments:

 1. Seen. next???. coz mada leo haibambi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Una wivi bi dada. ona mimaacho inavyokutoka.

   Delete
 2. Aleikum Salaam. Hongera sana kwake na Allah azidi kumpa uelewa zaidi. Allahuma Amiin

  ReplyDelete
 3. shukran Rajab kwa kupeperusha bendera yetu vzury

  ReplyDelete
 4. Mashaallah mwenyezimungu azidi kuongeza vipaji vya Quran na atupandishe daraja siye ambao tunaendeleza kisomo cha Quran... In shaa Allah. Hongera sana kaka

  ReplyDelete
 5. Masha'Allah, Ahsante Sintah kwa kuonesha ushirikiano
  Najivunia kujiita Mtanzania..Tunajitahidi kushirikiana, Wa Tz wote ni kitu kimoja. proudly Tanzanian

  ReplyDelete
 6. Hongera zake nilimpa beat insta kuwa ole wake asipokuja na ushindi nitamfunua teke airport ha ha ha ila on serious note, heshima kwake and am not even muslim.

  ReplyDelete
 7. Mash Allah,big up Rajab!

  ReplyDelete
 8. Mashallah hichi ndicho cha kujivunia.Elimu ya dini ndiyo ya kwanza na ya muhimu kuliko chochote na haijalishi ww ni dini gani,Hongera zake,kwa wazazi wake,Maustadh wake na kwa WATANZANIA WOTE.

  ReplyDelete
 9. kiukweli sijawahi kucomment hapa sintah huwa napita tu kilasiku lakini leo umenikosha haswaaaaaaaaaaa MASHALLAH sintah Allah akuongezee juhud na roho safi ya kupenda pandezotembili hongera kwake pia Rajab

  ReplyDelete
 10. MashaAllah.Hongera zake

  ReplyDelete
 11. JAMANI NANI ALIONA ILE CLIP YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE WEMA? MAMA KAJAZIA HUYO HATARII SO MADAME KARITHI KWA MAMA YAKE YULE SIO MCHINA SEMA TU WEMA KAZEMBEA HAJAFANYA ZOEZI NDIO MAANA MINYAMA IKALENDEMKA NA APUNGUZE NYAMA NA POMBE MWILI UTAKUWA VIZURI

  ReplyDelete
 12. OTT:WADAU NAOMBA MSAADA.NAONA MMENICHUNIA.NATAFUTA MAFUTA AU LOTION YA MWILI ISIYONUKIA KABISA PAMOJA NA SABUNI YA KUOGEA.NATESEKA SANA PUA YANGU HAITAKI KUSIKIA HARUFU YOYOTE HATA KAMA NI NZURI.NIELEKEZE NA DUKA PLZ NIKO DAR.

  ReplyDelete
  Replies
  1. cetaphil ni nzuri mnoo ina sabuni cream lotion ambayo ni nzito kidogo kuna lotion ya kawaida, na hazinukii hata chembe sema sijui kama ziko bongo jaribu store kubwa kubwa kama shopers, nakumat, na etc au jaribu pale s.h amon kuna moja nilinunuaga enzi hizoo siikumbuki jina ebu nenda pale ingawa naye kwa kufyatua vya mchina tuu hajambo unapaka kitu kinadunda.

   Delete
  2. ok nimerudi tena jaribu na mapharmacy makubwa yale ya ukweli sio za vichochoroni kuna pharmacy moja kubwaa pale mwenge nimeisahau jina ila ni kubwa ukiuliza pale kituoni utaonyeshwa tu haiko mbali na pale, na pia supermarket za wasouth manake na wao nimeona wanatengeza huko kwao south africa hivyo maybe wanaweza kuwa wanazo pia kwenye store zao pita kajaribu kuangalia. ukifanikiwa leta mrejesho.

   Delete
  3. Nenda kwa Jestina George, nafikiri duka lake linaitwa Zurii. Nunua simple products, kuna shower gel, lotions na hata face products. UK ukowa na sensitive skin wanakushauri utumie hizo products

   Delete
 13. MASHAALLAH MASHAALLAH
  AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA MPAKA RAHAAAA

  ReplyDelete
 14. Mashallah. Sasa asijae sifa tu za ushindi wa kupeperusha bendera ya nchi yake, ila aendelee hivyo hivyo na kuishika quraan zaidi na zaidi, maanake sifa hubadilisha mtu atii, wakati mwenyezi mungu ndie aliyekujalia akili hizo, in shaa Allah endelea kuwa mfano bora

  ReplyDelete
 15. Huu ndio Uslam wa amani sio wale majambazi yanatumia dini ya kiislam kufanya mauaji walaaniwe milele
  Hongera sana kijana

  ReplyDelete
 16. NIMEMTAMANI KWELI KAMA ANIOE VILE

  ReplyDelete
  Replies
  1. Weee!! Omba mungu, akujalie mume mfano wake, kama hukujaliwa kuwa mumeo, umeshasikia au kuambiwa tamaaa mbaya utamtamani weee kaka wa watu mpka utatenda dhambi,Inshaallah kazana na maombi ya kuswali ili uje umpate japo wa kulingana kama huyu, ila usiweke tamaa mbele

   Delete
 17. Ahsante sana Ndito ya majuu...hope ntaipata hiyo product...hiyo pharmacy ya mwenge nafikir ni Nakiete ntaenda leo hiii.Ahsante Sinta blog na wadau wote Mungu awabariki wote.

  ReplyDelete
 18. Nimefurahi.. mimi pia sijawahi kuweka comment humu
  Ila juu ya hili Sintah leo umenifurahisha sana.
  Mash'Allah kijana amefanya vizuri mno, Mungu amjaze hekma zaidi
  Na wewe Sintah Mungu akuzidishie imani na akupe uwepesi juu ya kila linalokutatiza.

  ReplyDelete
 19. muddy washingtonJune 1, 2016 at 1:34 PM

  Mashallah, Ramadhan Kareem kwa waislam wote duniani

  ReplyDelete