asas

asas

sintah

sintah

PRAY FOR HAMISSA n LULU

Wajamenii mimi napenda tu kuongelea hili jambo kwa ufupi,Hamisa wewe si wa kwanza na wala si wa mwisho kuachana na mtu,najua inauma but let it go,ure young n beautiful too,acha kuandika magazeti Instagram inaonyesha kwajinsi gani unavyoumia plz do not.... achana na makundi ya ajabu ya kukushawishi fanya hivi fanya vile,kuwa na akili zako lea mwanao hicho ndio kitu muhimu...usimuonyeshw mtu kuwa uko jappy n yet ure not, yre pics zinaonyesha kwajinsi gani ulivyokuwa desperate ,acha kuishi kimaigizo igizo humu act mtu bali ni wewe mwenyewe.... halafu jua unamchoresha baby dad wako,kuna watu wana matatizo kukushinda na wametulia kimya hizo kikii unazozitafuta n three years utajutia.

I love u both

33 comments:

 1. SIO ZAMA ZA KUGOMBANIA WANAUME JAMANIII!
  MKIWA BUSY KUZISAKA PESA NA MKAWA NA MAISHA ,MKAKUA MLALE WAPI MWAMKE WAPI .KAA SHOGA ANGU DIDA NAAMINI WANAUME MTAWAONA TAKATAKA .
  MKO WA DOGO ,WAZURI,MKIVAA MNAPENDEZA,MNAMIKONO,MIGUU,AKILI NAWASHAURI TULIENI,
  HIVI MNGEKUWA NA UMRI WANGU,SURA YANGU,SHEPU YANGU NYIE MNAVYOGOMBEA DUDU MNGETEMBEA UCHI KWA KUCHANGANYIKIWA.

  MIE NWANAUME HANITISH SISIBUTU KUNGOMBANIA,
  HAMISA WE MDOGO,MZURI,MTAFUTAJI NA UMEBARIKIWA MTOTO MZURI NAKUSHAURI USIUMIZWE WALA USIJIUMIZE
  USIMLAUMU LULU MWANAUME NDO MALAYA
  WANGAPI WAMEACHANA

  LULU NAWE ACHA KUBEBAGAVWANAUME ZAWATU !!!JIFUNZE KUSEMA NOO
  NDO MAANA UNAAMBIWA UNAMKOSI WA KUTANGULIZA WANAUME KWA BABA
  SIKU UKINICHUKULIA MUME WANGU NDO UTAJUA NI HAWARA YANGU AU MUME WANGU??SIUMIZWAG MIEZ NI WIKI TU KISHA NASAHAU
  MFYUUUUU

  ReplyDelete
  Replies
  1. muddywashingtoni@yahoo.comJune 1, 2016 at 1:48 PM

   Hodi humu ndani...nimepotea njia lkn si mbaya kuuliza njia, eti nikitaka kufika mtaa wa nyuma ule wa pili ule nipite njia ipi??

   Halafu kitu kingine nani ana namba ya kajala aniimeili muddywashingtoni@yahoo.com


   Zawadi nono kutolewa kwa atakaefanikisha zoezi

   Delete
 2. SIO ZAMA ZA KUGOMBANIA WANAUME JAMANIII!
  MKIWA BUSY KUZISAKA PESA NA MKAWA NA MAISHA ,MKAKUA MLALE WAPI MWAMKE WAPI .KAA SHOGA ANGU DIDA NAAMINI WANAUME MTAWAONA TAKATAKA .
  MKO WA DOGO ,WAZURI,MKIVAA MNAPENDEZA,MNAMIKONO,MIGUU,AKILI NAWASHAURI TULIENI,
  HIVI MNGEKUWA NA UMRI WANGU,SURA YANGU,SHEPU YANGU NYIE MNAVYOGOMBEA DUDU MNGETEMBEA UCHI KWA KUCHANGANYIKIWA.

  MIE NWANAUME HANITISH SISIBUTU KUNGOMBANIA,
  HAMISA WE MDOGO,MZURI,MTAFUTAJI NA UMEBARIKIWA MTOTO MZURI NAKUSHAURI USIUMIZWE WALA USIJIUMIZE
  USIMLAUMU LULU MWANAUME NDO MALAYA
  WANGAPI WAMEACHANA

  LULU NAWE ACHA KUBEBAGAVWANAUME ZAWATU !!!JIFUNZE KUSEMA NOO
  NDO MAANA UNAAMBIWA UNAMKOSI WA KUTANGULIZA WANAUME KWA BABA
  SIKU UKINICHUKULIA MUME WANGU NDO UTAJUA NI HAWARA YANGU AU MUME WANGU??SIUMIZWAG MIEZ NI WIKI TU KISHA NASAHAU
  MFYUUUUU

  ReplyDelete
 3. Wolper nae mchaga mjinga!!
  Eti picha yuko mtwara na mkwe anasonga ugali
  ALOMTUPIA MKOSI KAMMALIZA
  ATABADILI WANAUME KAA NYWELE
  MTU MZIMA HOVYOO
  WAZAZI WA WOLOER SIJUI WALIKUFAAA
  HAWANA USHAURI AU NDO WOLPER ANAWALISHA ??

  ReplyDelete
 4. na wewe sinta jifunze kuandika. jappy ndio nini sasa? haya maigizo ya Insta tushazoea hatuone jipya. sisi wapitaji tunajisomea tunapita tu. Ila wangetafutana kistar na sio kurushiana vijembe Insta. Ila lulu alifanya vizuri kumtafuta kwenye cm yake binafsi kabla hajarusha insta. sasa sijui conversations zilifikaje Insta. duuuu makubwa ya Daslam

  ReplyDelete
 5. wolperstylish
  i am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu... Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe... Mjipikilishe.. Akushauri
  Hapa nimepata rafiki kwa kweli...
  I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu😘😘😘
  SIE TUPO MKONGOMANI PETE YANAISHIAGA Kuzimu

  ReplyDelete
 6. Embu sinta tuwekee pic za ukweni Mtwara hawa na bifu zao hazituhusu. tunataka mambo ya malovee

  ReplyDelete
 7. Sintah turudishie Weekend story jamani

  ReplyDelete
 8. Umemuongelea Hamisa, ila me sijaona kosa lake wala sijaona hayo magazeti unayosema, mtoto wa watu hata kama huwa anaandika basi ni mara moja moja lakini hayo maigizo unayosema sijaona sana sana huwa anapost picha zake za u model ila sijawahi kuona kaweka chochote cha ajabu au cha kujisifia sasa ni maigizo gani unayoyaona wewe au ana account nyingine ambayo sisi wengine hatuijui? Huu ushenzi unaendlea sasahivi umeletwa na hizo team wakiongozwa na yule mbulula kubwa jina munalove, lakini sijaona yoyote kati yao aliesema chochote, mtoto wa watu hata kama anaumia basi anaumia huko chumbani lakini si mbele yetu. Muacheni hamisa wa watu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante mdau huyu mbwa malaya mchafu sinta sijui ana shida gani hv ww ya lulu huyaoni unaona ya hamisa tuu eti mbona mm sijawahi kuona kitu kibaya cha hamisa anapost vitu vya kawaida kabisa lakn kwasababu ww ni double std bitch utamuanika hapa ili asemwe vibya acha tabia mbaya ww sinta mbwa wahed unamuogopa lulu au kujifanya msomi msomi wa mavini kenge wèe hv una habari huyo bwana wao ni muuza unga kaangalie mange alivyomlipua uache kuonea watu kama unawasema waseme wote sio kubagua..pu$$$¥fak

   Delete
 9. Mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu hamisa karma Mama we umetembea Na waume za watu wangapi jinsi wake zao walivyoumia nawe umelipwa acha kujiectisha uyo majizo ndio kakutoa bikra kwa ufupi unachekwa Na unajichoresha Na kufanya ivyo akutamfanya mwanaume akurudie

  ReplyDelete
 10. Jamani naombeni anayejua dawa ya kisukari na kama alipona au ndugu yake alishatumia akapona. Asanteni

  ReplyDelete
  Replies
  1. Chukua majani ya mpera kausha atumie KAMA ajani ya chai .
   SOMA Google. GUAVA AND GUAVA LEAVES
   NA SOMA KUHUSU DIABETIS GOOGLE
   AFANYE MAZOEZ
   ALE VIZURI

   Delete
  2. Asante my dear, nitafanya hivyo. Nimeshagoogle hiyo Guava leaves nimeona.

   Delete
 11. achia comments basi loh!

  ReplyDelete
 12. Mnangetina wa Kichwa PanziJune 1, 2016 at 2:01 AM

  Vipi kulikoni hadi saa 6 hujaachia comment hat moja

  ReplyDelete
 13. Hamisa mzuri kwa kweli hana mpinzani,achilia tu mama yangu,kisicho riziki hakiliki,amini mungu ana makusudi yake,usilazimishe penzi,kama limeisha limeisha tu,utajampata wako atakaekupenda usahau shida zote ulizopitia na huyo bwana.Nakuombea kwa Mungu akuwezeshe kusahau

  ReplyDelete
 14. SUKARI BANA MWANZA 2500 KILO MOJA. HAPA KAZI TU. ANAYEBISHA AJE MKOLANI SOKONI AJINUNULIE HATA KILO KUMI

  ReplyDelete
 15. Ukitulia huwa unaongea vya maana sana! I wish uwe unatulia kila siku maana wakati mwingine sijui huwa unakuaje!!!

  ReplyDelete
 16. Ungjua Hamisi hana tatizo wala shida na mtu kuna huyu mtu kidudu mtu MUNALOVE huyu dada ni mnafiki tena mshezi aso na haya kubwa zima aso na kazi kazi kuwagombanisha watu na kuunga magenge ya kuwazalilisha watu kamgombanisha wema na petitman sasa anaaza na kuwagombanisha Lulu na hamisa yaani huyu dada ni nyoka tena mwenye vichwa 2 muogopeni sana

  ReplyDelete
 17. Kweli kabisa hata mimi namchukia sana Muna mtu mzima hovyo

  ReplyDelete
 18. Muna kageuka Jerry muro yeye ndio msemaji mkuu wa wema na lulu mshenzi sana huyu dada ndio mana Kalala alimuacha si mwnamke wakuweka ndani hata kidogo

  ReplyDelete
 19. Hili bifu Lulu Na hamisa linapikwa na Muna

  ReplyDelete
 20. Kwa anayetaka dawa ya kisukari piga namba0782201010,ni dawa nzuri unapona kabisa

  ReplyDelete
 21. Simjui huyo Muna lakini kama ndie anaechonganisha hao wadada hapo juu ashindwe na alegee. Namkemea katika jina la Yesu alie hai. Mwanamke mfitini ni mtu mbaya sana company yake ni ya shetani na marafiki zake shetani. Acha kufitini na kugombanisha wenzio we mwanamke. Fanya yako ya wenzio achana nayo. Haya huna wala hujui vibaya. Pepo mchafu na utokee ktk jina la alie juu. Sipendi sana wachonganishi mimi. Acha wagombane wenyewe lakini sio kwa kuchochewa. Mbuzi kasoro mkia..wahed!!mxiuuu! Nawewe lulu hukomi tu kunyakua mabwana wa watu??una kasoro gani ushindwe kupata wako mwenyewe??nawewe Sintah why ku base upande mmoja??umemleta huyo Hamisa aje kupewa ushauri au aje kuchambwa? siyo vizuri hivo..kwanini usiwe neutral wewe as a blogger??Sijapenda ulivomu attack huyo Hamisa it does not make sense at all!!Habari ndo hiyo..gazeti hilo hangaikeni nalo!!

  ReplyDelete
 22. We Muna tuliza kiharage chako icho. Mind your own business!!bitch!!

  ReplyDelete
 23. Hivi wadada WA bongo ni lazima muwe na mara fiki?can't you have your own company.why dont u be friend with your mom or your blood sister? There is no trusted friend when it comes to your love life. Stop living a fake life.you have no jobs and you want to live a luxurious life, that's why u end up sleeping with drug dealers and neither of u is going to be a successful person if u dont stop selling your body.you have no education and yet you want to make us believe you have decent life.time will tell.there were beautiful ladies out there,now look where are they now?acheni kudanganya wadogo zetu kumbe mnauza k kulisha family....lulu akiongoza. Hiki kitoto hakijifunzi tu.walikua kina amina wazuri kushinda wewe ..

  ReplyDelete
 24. Nyie kina lulu wema, mobeto huyo bibi kizee muna atawagombanisha ili apate kiki.anajidai anauchungu na nyie kwa ni kawazaa???? Nasubiri wema na muna wwgombane.maanake wema akiwa na rafiki lazima watibuane. .

  ReplyDelete
 25. Wanachokigombania hasa nini kwa huyo majimazito maana kwa sura BIG NO au ndio pesa maana kwa uzuri wa Hamisa na LuLU si kwa kikaragosi yule sio type yao sura kama mmachinga

  ReplyDelete
 26. MUNA MUNA HEBU ONA AIBU DADA WEWE NI WAKUJENDA NA UMRI WAKO SIO WAKUBOMOA

  ReplyDelete
 27. HALAFU HUYU DADA MBILIKIMO ANAJIFANYA ANA MATUSI SANA MNAFIKI MKUBWA

  ReplyDelete
 28. Muna, muna, muna,...acha kujipendekeza kwa hivi vitoto.we mtu mzima lea mwanao. Unajifanya unauchungu na watoto wa watu.grow up old bitch.Acha ukuwadi kwanza.

  ReplyDelete
 29. Kweli kabisa Muna ni mtu mzima hapaswi kabisa kushaikia au kufurahia hiki kinachoendelea yeye km dada alitakiwa kutoegemea upande wowote na kuwaweka sawa km wadogo zake

  ReplyDelete