asas

asas

sintah

sintah

ALIYETUROGA .....

Hivi mtu unawezaje kuwa na chuki kali kama hio hapo juu👆👆👆 mtoto wa mwanamke mwemzio anajitafutia riziki yake umemkalia kooni daaah,wewe dada kiboko TCRA hebu fanyeni kazi zenu kwenye acc kama hizo hapo juu,wa Tz wa IG wanadhalilisha sana taifa, khaaa sio kwa michambo ile kwenye page za watu yaaani hakuna kitu kibaya kama kuwa idle,mpaka kuandika utumbo hapo juu ni kukosa kazi za kufanya, huwezi ukawa busy na kuandika huu upupu.

38 comments:

 1. Jiwe limerushwa gizani..........

  ReplyDelete
 2. IG BUANA WATU WAMEBADILISHA ACCOUNT ZAO KUWA VITEGA UCHUMI. KALI ZAIDI NI WATU WANATAPELIWA KUPITIA WATSUPBATI ADA KWA MWEZ BUKU TANO MWEZ UKIISHA GRUP LINAFUTWA LOOH Kuna watu wanatapeleliwa kwa matatizo yao wenyewe.

  ReplyDelete
 3. "I had a busy day leo mpaka basi ndo maana mnaona sikuapprove comments zenu. I was just sooooo busy...... Ila sasa hivi nimetulia nipo ndani ya ndege na familia yangu tukielea L.A. Ndo nkona niblogue sasa.

  Unajua nini mwezi wa Ramadhan hamzuii mtu kusema ukweli kwa hiyo acheni niongee.

  Nimeoingia online tu natumiwa link nimeingia naona watu au hata labda inawezekana ikawa ni mtu mmoja tu kaandika zote si mnamjua yule hamnazo alivyo. Anyays, it doesnt matter kama comments kaandika mtu mmoja au wameandika wengi au kama Sinta mwenyewe kaandika ili watu wamwonee huruma sijui ila what matters is mtu ambae hajui kwanini nilifanya vile jana anaweza kuniona mimi ni mtu mbaya sana, nina wivu na wanawake wenzangu, ninawavunja moyo na kuwaharibia majina yao. Kwa kweli siwezi kukubali kuwa na kashfa kama hii sababu mimi ni mgombea mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Ukweeeeeee ,CCM. Nimeona bora nijiteteee angalau.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe kichwapanzi nae mgonjwa wa akili wewe. Sasa ya nini haya kutuletea huku? Kama umeishiwa si utulie kwanza usubiri kashfa mpya? Una bore!

   Delete
  2. weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

   Delete
  3. Vichaa wengi humu..sasa mbona hatukuelewi..umekunywa dose yako au umekurupukia tu blogu hata tongotongo hujatoa..khe!!

   Delete
 4. Mnakumbuka nilivyokuja US nikaweka porche yangu nawaringishia, bidada akarusha macomment gari yenyewe ya mkopo, akawa kila akipiga picha chini anaandika siishi kwa mkopo. Maskini nilikosaje raha kaniumbua gari la mkopo. Imagine mpaka alidiriki kuweka comments kuwa muke ya muzungu mimba imeingia chooni. Imagine wakati anaweka hii comment taayri nilikuwa najua mambo ya mkopo na nilikuwa nakumbuka anavyosema haishi kwa mikopo lakini stili nilijikaza nikasema bwana eeeh mwache kila mtu ananijua mimi taifa kubwa sina haja ya kumjibu. Sasa alivyofungua duka ndo akadata kabisa comments zoote ni muke ya muzungu alikuita mlala hoi aone sasa, muke ya muzungu atakuheshimu sasa, yani ni kama vile alifungua duka kwa ajili yangu mimi. Imagine hata baada ya hapo nilijikaza sikutaka kutoa hii infomation, ou know why? i though to myself, God has blessed me so much more than her and i know deep down she doesnt hate me but rather she wishes to have what i have kwanini nisimwache aenjoy this moment? kumbuka hapo just a weeka before yeye hakutaga hata nii enjoy mashauzi yangu ya kuwadangany

  ReplyDelete
 5. yani watu wengi mnoo ni washamba wanadhani tuzo ile ni lazima angechukua diamond vinginevyo ni kosa la jinai jamani eeh kuna kuwaga na nomination majina mengi tuu na mmoja ndo anaibuka kidedea sio lazima ashinde mtu mmoja tuu mliomzoea mihemko hii ndo ilimfanya kanye west kipindi kilee akamrukia taylor swift kuwa award aliyopata alitakiwa ashinde beyonce na si yeye taylor… sasa kuna watu wa ajabu ajabu wanadhani kuwa diamond angeshinda ingekuwa balaa wakati ana matuzo mengi tuu ya international asipopata leo atapata siku nyingine awards zipo miaka yote leonardo dicaprio alisubiria tuzo miaka 7 ndo akapata oscar ingawa jina lake lilikuwa kwenye nomination mara 7 hivyo hakuna kukata tamaa atapata tuu inshalaa na k… na kusheherekea ni muhimu the weeknd yeye anaagushaga maparty ya kufa mtu watu hadi mia 300 home kwake hadi police wanafanya kuitwa acha kabisa ushindi ni habari nyingine...

  ReplyDelete
 6. haachwi mtu pyeeee…...June 26, 2016 at 11:39 PM

  habari ya mujini ni talaka baby

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakuna cha ajabu kuhusu talaka. Kuna watu wanaanza kwa kupendana kama malaika lakini inafikia wakati wanatofautiana wanaachana regardless walisema au waliambiana maneno mazuri kiasi gani. Msituchoshe na habari ya talaka. Mwanaume sio Mungu kusema maisha yataisha.

   Delete
  2. Mtalima lami na vidoleee no divorce here beibeeee
   Labda sio mganga wangu wa upareniii
   Heheeeiiiiiiyaaaaaaaaa

   Delete
 7. MRS BLACK COFO NIMEWANAWAFEEE HAHAHAHHHA WABONG

  ReplyDelete
 8. Kura hazikutosha,In sha allah next time tuzo itarudi kwetu,hkn kukata tamaa
  Tatizo letu watz tumejaa matusi matusi matusi mtu anaenda kwenye page ya BET inatukana mitusi bila msingi wowote,au unaenda ktk page ya kahawa nyeusi unatukana,Hv hatujui km kiswahili ni lugha kubwa tukiendela huu ujinga kuna uwezekano ht wa kutolewa ktk mashindano
  TATIZO ELIMU

  ReplyDelete
 9. Jamani ee..kuna mtu anapajua anapokaa au anaposalia Edson Mwasabwite yule mtumishi wa Mungu??Nataka nikamtembelee tubadilishane mawazo kiroho!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nyumbani na mkewe,badilisha mawazo ya kiroho na parish worker wenu,vijivishetani vidogo kama nyie mnataka enda kutia watumishi wa Mungu majaribuni bure.

   Delete
  2. wee si ulisema unamtaka ? looh.. mwaka 2016 umegeuka kuwa mwaka dume, ushindwee mawazo gani ukabadilishe naye shost wewe? au unataka umtie mwenzio majaribuni? haya ndo uingie chimbo umsake yaani google unaweza pata hata contact zake kila la heri.

   Delete
  3. teh teh teh!!

   Delete
  4. Nenda kanisani kwake watakuelekeza kwake.

   Delete
  5. www.zillow.com/homedetails/5487-Blanco-Way-Culver-City-CA-90230/20437959_zpid/

   Delete
  6. Anaishi kitaani kwetu fata maelekezo haya
   http://www.zillow.com/homedetails/5487-Blanco-Way-Culver-City-CA-90230/20437959_zpid/

   Delete
  7. mdau 4:59 n 5:01eiem, mbona sasa umenipeleka kwa hoteli! Kwani anakaa hotelini?? khee!!pia nikimgoogle nagongana na downloads za nyimbo tu yaani kweli imbombo ni ngafu hii!! Facebook sina mie! Anasali kanisa gani mdau at 4:09 eiemu?

   Delete
 10. Ni hv kwa maneno yake ya shombo na mdomo mchafu atakosa kila tuzo we kakosa hiyo tuzo kapinic vby kaandika ooh haya ongeeni na waganga wenu vzr hv nani amloge huyuu wa tandale...dharau na kujiona kafika hatakaa apate tuzo yoyote watu wameshamchoka wakati anataka kutoka alikuwa mnyenyekevu sahv kapata povu linamtoka hakuna atakaepoteza muda kumpigia kura kuna samatta anatuwakilisha kwenye soka people r tired wit his bullshit umeshakuwa kioo cha jamii u must be humble sawa kuna vitu vinaudhi bt dont react too much walimwengu huwezi kuwabeba wote sasa yeye majibu ya kunya na kubishana na mashabiki atawaweza kweli ndo maana watu wanafurahia kukosa kwake unadhan hawajui kwamba kuna kupata na kukosa wanajua vzr tu...ila wanamtibua nyongo nayee katibuka shurt nyongo inamtoka hahahahhah na badooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. maskini akipata matako hulia MBWATA..ndo huyo shemeji sijui kaka yenu. Mtamkomaje sasa..ila yule black Coffee sijui black chai mbona yuko vile yale mapozi utasema msukule khii!kweli pesa inaweza kukugeuza from binadamu to mzimu..halicheki limevaa sura ya mbuzi si mbuzi beberu si beberu..mapozi gani yale jamani heee!

   Delete
  2. Na bado we Mungu?????

   Delete
 11. Hivi imagine diamond angewin ... tungelishwa ndimu Na zingine tungerushiwa machoni...

  ReplyDelete
 12. Jamani mwenye kujua insta ya kichwa panzi.wacha nikasafishe macho

  ReplyDelete
 13. Anasali kanisa ga?? shosty!!

  ReplyDelete
 14. kwani Dai huwa awatukani watz? tupisheni huko Sinta inachoma kama pasi boss wako kakosa. mapovu vepeeeeeeeeeeeee! mlifikiri yeye mungu mtu

  ReplyDelete
 15. hata mm nimefurahi sana Domo kakosa.

  ReplyDelete
 16. lakini alopewa kapewa tu

  ReplyDelete
 17. kelele za chura hizo................

  ReplyDelete
 18. hakuna tusi jipya au neneo jipya kwa Domo yote yashaongelewa hayo ndio kwanza anawacheka kwa dharau........ chezea mtoto wa tandale mtakufa kwa vijiba vya roho wenyewe

  ReplyDelete
 19. tatizo hawataki kukubali kuwa Wema ndio imebaki stori kwa Daimond hiicho ndio kinachowaumiza sana maskini, du kunawatu wakuwajaribu lakini sio mtoto wa tandale imekula kwenu hiyo tafuteni mbinu mpya sio ya matusi na maneno ya kajeli

  ReplyDelete
 20. Sintah...wabongo ndio zetu..chuki mstari wa mbele...ukipata watakushangilia kinafki..na ukikosa ndio wanakuombea uzidi kushuka..Diamond ni msanii ambae anafanya mengi mazuri...huyo dada mwenyewe anaonekana njaa tu...

  ReplyDelete
 21. Welcome To Real Estate Pipeline Serving Real Estate Agents, As Well As Home Buyers And Sellers In The United States And Canada "huyo mdau katuma link eti ndio mchungaji Mwasabite tutampata mbona hiyo link inafunguka na mambo ya Real Estate" duu weee kiboko hahahhahahhahahah

  ReplyDelete