asas

asas

sintah

sintah

BUDGET MPYA

Haya sasa wale wenye mbwembweee za ku personalize no plates ngoma inaenda mil kumi sasa za kibongo upo mwanawani??

2 comments:

  1. hii ni starehe kama kunywa pombe au togwa atweka mwenye nazo tu

    ReplyDelete
  2. Ama kweli yani comment ya bajet ni moja tuu too bad mh!ni kwamba pipo wako happy ama

    ReplyDelete