asas

asas

sintah

sintah

CHIDI BENZI OUT OF SOBER HOUSE

shavu dodooo, kukimbilia gym kuinua vifua SMH
Sasa Chidi Benzi ametoka katika kituo cha sober house kinachodeal na wanaotumia madawa ya kulevya,chidi alikaa sober house miezi mitatu,je chidi sasa amepona na yupo tayari liwa balozi mzuri wa wanaopinga madawa ya kulevya?tusubirie muda as they say time will tell..


4 comments:

 1. hawaponagi hao kuna kitu kinaitwa addiction hichi ndo kinawapelekesha tu hata kama unania ya kuacha kweli imagine lamar odom alinusurika kufa juzi juzi tu hata miezi sita bado karudia maunga inatia huruma na hasira juu kwa wale ambao hawajawahi kula hii makitu msijaribu, ukiingia humo hutokii hakuna cha rehab wala sober house huwa wanapunzikaga tuu

  hata miaka lakini wanarudia upyaaa mifano iko mingi mnoo tukianza na whitney houston huyu alienda rehab weee lakini wapi.. seymour hofman mcheza movie huyu aliacha unga kwa miaka kumi alikuwa sober lakini alifungulia unga kwa speed ya ajabu akafa na sindano inaning'inia mkononi akiwa anajidunga cocain mix na heroin, amy winehouse huyu naye alikufa kwa overdose hapo ni baada ya rehabu za kutosha hadi akatunga wimbo kuwa babake amemwambia aende rehab ila yeye anasema no no noo….

  tusiende mbali ray c mwenyewe akageuka preacher hadi huyu chid alishamtwanga kisa ray c alikuwa anamwambia aende huko sober akasaidiwe. kiukweli uponaji kama upo ni wa muda alosto akirudi tuu unabembea poleni wala ngada wengine msijaribu ni hayo tuu kwenye huu mzalendo!

  ReplyDelete
 2. mmh mapunga yametunguliwa risasi za kutosha wakiwa club leo tv zoote ni news za shooting tuu.. nilishaenda club za mapunga kweli humo ndani Mungu tuhurumie vijana marijali wazuuri wamekuwa mapunga wengine ni mabaunsa wana miili mikubwa ati nao machoko jamani nilikuwa nachoka na kuomba Mungu nisijezaa mtoto wa kiume jamani naogopa mno.
  ukienda kwenye hizo club ndo utajua kuombea mwanao ingawa kuna watu wengine pia wanaendaga kushangaa kama mimi ila ukiona mwanaume humo ndani asilimia 99.9 ni mapungaz humo ndani wanawake ni kiduchuu huko ata uwe mzurijee hutizamwi ng'ooooo… hao wanaopita vifua wazi wamejibinua ndo kiwanja chao cha kujidai.

  bongo igeni vyote ila msijefungua club za magay ni balaa manake kizazi iga iga hichi kitaangamia chote hadi waume za watu watakwenda huko manake si mchezo. huyu aliyewalima risasi imagine miez miwili iliyopita aliona mapunga waili wakila denda, alikererkajeee? ndo akawajengea kisa cha kuwatokea club kuwanyoosha.

  jamani viongozi wetu ni wanafiki hataree wakijaga majuu tu wanavyotaka wapelekwe kwenye strips club zile za wadada wacheza uchi wanazipendaje? wakirudi bongo wanajidai kulaani kina snura weee.. ndumilakutatu tuu haoo iko siku nitamtungua mtu picha ohooo…..

  ReplyDelete
 3. Mungu akutangulie .Akupngoze,AKUNUSURU
  Muombee mema wa mwenzio na wako atanusurika

  ReplyDelete
 4. katoka haraka haraka ivo anakimbilia wapi??mmh nawasiwasi atarudi tena pale pale. Hapo amekimbia ili aje kuwahi huku nje. Sorber house watu wanakaa hata miaka yeye vijimiezi sijui viwili au vitatu mmmmmhhh!! Who r they fooling? Goodluck anyways!!

  ReplyDelete