asas

asas

sintah

sintah

HONGERA SANA RTO KINONDONI

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, nachukua nafasi hii kumpa pongezi za dhati RTO wa Kinondoni kwa upande wa Traffic kwa kazi nzuri sana, sasa foleni imepungua kwa kiasi kikubwa just imagine mtu asubuhi anatumia sakika 15-20 mpaka town, hongereni sana pia kikosi cha traffic barabarani kwa kutusaidia wananchi, mnastahili pongezi mnooo.... tunaziona jitihada zenu mnazofanya.

5 comments:

 1. Kweli kabisa Sintah,kumbe watu wakiamua wanaweza.HONGERA ZAO.

  ReplyDelete
 2. dada sinta sio kwaajili ya shule nyingi zimefungwa and ramadhani nayo inachangia maana wengi huwa wanachukua likizo kipindi hiki ili amtumikie mungu sana sana..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Acha Urongo hata kabla ya mfungo foleni ilipungua sana,nadahni mwendo kasi umechangia sana

   Delete
 3. kuna siku dala dala waliniudhi sana nikamtafuta trafiki polisi akaniunganisha na RTO jamani gari ilikamatwa kwa kutumia tu evidence nilizo forward kwa RTO kwa njia ya simu. Kama bado ni huyu aliyenisaidia mwisho wa mwaka jana basi pongezi nampa mara dufu. sintah nakuunga mkono foleni njia yetu imekuwa nafuu sana hata Kinondoni Rd. I wish I could remember his name ila kuna siku ntamuulizia pale O'bay he deserves an applause.

  Juzi pia my coleague alikuwa na issue central, jamani huyo afande alitupokea vizuri na viti tukapewa na tukasidiwa ilivyopaswa. in the processes mkuu wa kituo aliingia kwenye hiyo ofisi na nilishangazwa na jinsi alivyo tu treat...so humanly. Tulijisikia kwei tuko ofisi ya umma. Hadi mtu unajisikia comfortable ku open up kwao.

  BIG UP RTO KINONDONI
  BIG UP AFANDE GODDY WA CENTRAL
  BIG UP MKUU WA KITUO CENTRAL

  ReplyDelete
 4. washenzi hao wana dhalilisha watu sana.

  ReplyDelete