asas

asas

sintah

sintah

MENINA AFUNGA NDOA YA PILI....

ndoa mpya

ya zamanii
Wajameni mumuache mtoto wa watu, huwezi jua aliyapitia yapi katika ndoa yake ya kwanza, kwanini mnamsema mnajua watu huwa mnaboa sana tena sana, kuna wengine mna ndoa ishirini kidogo just because hatujui ikupe fursa ya kuhumu wengine, khaaaaa mumuache, Menina olewa olewa at the end of the day its  happiness that matters, kwanza huyu wa sasa hivi ni msupuuu kuliko wa kwanza.... hii ndio inaitwa ukisema cha nini wenzio wanasema tutakipata lini...

10 comments:

 1. Duh kumbe alishaachika. Mbona ni juzi tu. Hizi ndoa za siku hizi jamani. Tatizo ni nini? Kuolewa kwenye majina au?? Humpendi bwana kisa ana jina mjini unatumbukia, lazma uachike.

  ReplyDelete
 2. Ni mdogo lakini anaonekana mtu mzima, tatizo ni nini? Au ndoa zinamkomaza?

  ReplyDelete
 3. Eeh kaachika basi anajua kufanya siri mambo yake ya ndani...huyu mtoto wa mh.si ndo alibadili dini kumfuata bibie daah..afu we sintah acha uzandiki eti wapili msupuu kuliko wa kwanza usipende kusema watu vbya ww wakwanza ana tatizo gani...uwe unachagua na maneno ya kuongea sio kuropoka tu ukikaa kimya muda mwingine inasaidia pia...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sinta amanishi kwamba huyo wa kwanza ni mbaya hata, yaani huyu wa pili anamuonekano zaidi, mwenye haiba ya kuvutia, kijana mwembamba na mtanashati wa muonekano wa macho ya mtazamaji ni hayo tu

   Delete
 4. Watu wanaolewa wanaachika na wanaolewa tena hata ndoa mbili,tatu wewe upo tuuuu...Usizuge kuwa hutamani ndoa, nope hakuna mmwanamke asiyetamani kuolewa labda wasagaji kwa sababu bongo haziruhusiwi....umechina bibi wee lol unaisomaje namba utamkumbuka hadi Juma Nature...ongea na Le Mutuz muoane manake mnaendana wallah... Diplamat my foot fyuuuuuu olewa na vyeti vyako

  ReplyDelete
 5. ndoa ya kwanza alifata hela kwa waziri...sasa sijui imekuwaje tena!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 6. hiyo ndoa ya kwanza hakuwahi kuiongelea ila hiyo ya pili kaipost kabisa

  ReplyDelete
 7. Ila huyo mume wake mpya mshaurini aache ushoga.anapenda kupakua.

  ReplyDelete
 8. wabongo bana, huyu naye kumbe bwabwa tu. makubwa wenye ubuyu tupeni.

  ReplyDelete
 9. Jamani mbona mnapenda uongo na kusingiziana, shoga ulimuona? Ana vitabia vyake lkn c shoga. Namjua tena kwa ukaribu, muacheni mtoto wa wa2.

  ReplyDelete