asas

asas

sintah

sintah

RAMADHAN KAREEM

Ms Manongi

Sasa tumeugawa mwenzi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa, tunaendelea na swaumu basi muwe wa staarabu  mpaka mwezi huu wa toba uishe , kuweni wavumilivu watu tunatubu

9 comments:

 1. UNARIKIWE
  MAANA WEWE NDO UNGEFUNGA KWARESMA MIEZ 11 ILI UTUPUNGUZIE UMBEA
  HUJAENDA MSIBANI LEMUTUZ BAHARIA WA KALE KAFIWA

  ReplyDelete
  Replies
  1. POLE KWA KUFIWA BABU CHELA
   NA MIENIMEONA POST KAFIWA. ILA BAHARIA MWEUSI ALWAYS ATAKUWA BAHARIA TUU .UMEMUONA BAHARIA WA KIGODORO FILM?
   LEMUTUZ KAANDIKA STORY NDEFU KUHUSU KUFIWA NA MAISHA YA ULAYA !!
   MAISHA YA ULAYA WALIAMKA WOTEE WAKENDA SHULE WALOMALIZA WAKAENDA KOZI ,WALOMALIZA KOZI WAMEAJIRIWA
   KAZI KWA WOTE
   ULAYA HAKUNA ANAYEISHI KWA MM AU BB NDO SYSTEM YAO. SASA WW UKAE INSTAG UJIHESABU UKO KAZINI ??
   LEMUTUZ UNAKUKI ZA KIBAHARIA KWELI
   ANGALIA MABAHARIA WANGAPI WAKO SAWA? STORY ZAO NI ZA KIBAHARIA MPK WANAZEEKA

   Delete
 2. Mhh hizo fashion,sasa hio miwani Umeona imekupendeza kabisa mpaka upige picha?Haya uliolewa siri nini maana kuingia uislam kutoka ukristoni hivihivi,mfungo mwema,ila heshima hizi ziwepo kwenye kwaresma pia sio mwezi huu tu,nasikuzote Mnatakiwa kuwahivi sio mkifungua mabalaa mtindommoja.

  ReplyDelete
 3. OOT: kero yangu ni kukaa lisaa limoja foleni ya buguruni tazara hivi kwann trafic huwa hawavutagi foleni ya tazara yaani wenyewe ni foleni ya kutoka airport tu ndio wanayojua kuivuta basi

  ReplyDelete
 4. Kote kuna folen ndugu,,asbh mpk jion ni balaa folen ya kutoka Gmboto to Tazara

  ReplyDelete
 5. Mbeba Pochi ya ZariJune 21, 2016 at 6:56 AM

  SINTAH MWAMBIE BI MICHIRIZI ATULIE TULII HUU MWEZI WA TOBA MAANA NAONA ANATAKA KUJIKOMBA ETI ANATAMANI SIKU MOJA AKUTANE NA BABA TEE WAKAE PAMOJA WAONGEE ETI WAYAMALIZE MWEEE. MAMBO YAMEBANAAAA SI MCHEZO HALI TETE NO WAKUHONGWA. KWI KWI KWIIII

  ReplyDelete
 6. Bibie Sintah, mi naomba contacts zako nikutongoze, yaani kila nikikuona nashindwa kujisitiri mwenzako. Napenda sana your lips, vingine sitaki kuvitaja. Tafadhali naomba tuwasiliane ASAP.

  ReplyDelete
 7. Miwani jamani miwani........Daaah! Ndo mambo ya fashoooooooo (in Bwabwa fulani's voice)

  ReplyDelete
  Replies
  1. ivi yule wa nivvaaaanaaa kerli nibwabwa jmn au

   Delete