asas

asas

sintah

sintah

RAY C AKAMATWA NA POLICE

waliomshuhudia
Enyi yie wasichana wadogo mnaojitoa fahamu na kutumia unga wajameni wajameni hebu acheni oneni dada yenu jinsi anavyo hadhrika, mtu kama Ray C sidhani hata anajua kama ana passport wallahi kaaaa Mungu wanusuru vijana wako, nashukuru Mungu mie na vitu vya moshi vimenipitia mbali sanaaa, sasa amepelekwa police kwa madai ya kwamba alitaka kujichoma kisu, ndugu zangu wanaume kwa wanawake ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji.

28 comments:

 1. Yaani nimejikuta nalia jamani, this is so sad. Hii sio unga tu, this is really evil at work huyu aombewe hakuna rehab itakayomsaidia she needs Deliverance really from a star mpaka kuwa hivi inauma sana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Embu achenI mambo yenu. Kumuomba Mungu bila ya kutatua tatizo ni kazi bure. Unga uko hivi hivi kama mlikuwa hamjui. Yuko wapi Amy Winehouse. Tena yeye alifikia pabaya zaidi ya huyu Ray C. Hapo ni kutatua ubwiaji wake wa unga full stop. Maombi inakuwa ni addition tu.

   Delete
 2. Maskini ray c uwiii ndio wapenda miteremko mjipange serikali ya magu itawaaibisha

  ReplyDelete
 3. Duh Iam speechless....

  ReplyDelete
 4. duh thats so sad!!from fame to shame!!sasa sijui ndo watamsaidiaje. Hivi aliemfundisha kubwia anajisikiaje akimuona hivi..au nae yuko nyanganyanga..May God protect her from any evil forse.

  ReplyDelete
 5. Daah,nimetoa machozi.Sijui yuko wapi?na
  mbona na simu zake hazipatikani?

  ReplyDelete
 6. Tuambieni nyie mliomshudia mlimsaidaje?wanamuziki wanajitahidi kusaidiana/wanabebana tafauti kidogo na wacheza movie,sasa kwa hili la Ray C sijui kwa nini wamekuwa tofauti.

  ReplyDelete
  Replies
  1. MUNGU AMPE FAHAMU
   ASKARI NA SERIKALI INGEWAKAMATA WAUZAJI SIO WALAJI .NCHI ZA EUROPE ZINAWASAIDIA WATUMIAJI NA KUEASHITAKI WAUZAJI.
   SINTAH UNAANDIKA BILA KUJUA UNACHOANDIKA HUJUI ATAKUWA ULOMZAA AU ALIZALIWA NA ULOMZAA AU HATA ANAYEKUHUSU.
   KWANZA TUMSHUKUTU MUNGU ALIPITUWEKA NA TULIPO . TUMSHUKURU KWA KUTUEPUSHA NA VISHAWISHI.
   UNAWEZA POTEA ASAMA RAFIKI, BWANA ULIEMPENDA UKAPITILIZA
   WATANZANIA HATUSAIDIANI ZAID NA SI KUDHALILISHANA KIPITA WHATSAPP
   DUNIA NZIMA ALOINGIA KTK MADAWA,MIRUNG.POMBE ILOMKOLEA KUMTOA NISHIDA . USIMNADI MTU UTADHANI ANAFANYA ANALIPENDA.
   OMBA UNUSURIKE WEWE NA KIZAZI CHAKO.
   OMBA KIZAZI CHA MWENZAKO KINUSURIKE NA CHAKO KITANUSURIKA.
   MUNGU ALIONDOE JANGA HILI
   JIULIZE MZAZI ANAUMIAJE???
   MTOTO ULOMKUZA UKAMSOMESHA LEO HUJUI UTAMRFANYAJEE.
   MOLA WASAIDIE WALOANGAMIA KWANI WEWE NDO MUWEZA

   Delete
  2. MUNGU AMPE FAHAMU
   ASKARI NA SERIKALI INGEWAKAMATA WAUZAJI SIO WALAJI .NCHI ZA EUROPE ZINAWASAIDIA WATUMIAJI NA KUEASHITAKI WAUZAJI.
   SINTAH UNAANDIKA BILA KUJUA UNACHOANDIKA HUJUI ATAKUWA ULOMZAA AU ALIZALIWA NA ULOMZAA AU HATA ANAYEKUHUSU.
   KWANZA TUMSHUKUTU MUNGU ALIPITUWEKA NA TULIPO . TUMSHUKURU KWA KUTUEPUSHA NA VISHAWISHI.
   UNAWEZA POTEA ASAMA RAFIKI, BWANA ULIEMPENDA UKAPITILIZA
   WATANZANIA HATUSAIDIANI ZAID NA SI KUDHALILISHANA KIPITA WHATSAPP
   DUNIA NZIMA ALOINGIA KTK MADAWA,MIRUNG.POMBE ILOMKOLEA KUMTOA NISHIDA . USIMNADI MTU UTADHANI ANAFANYA ANALIPENDA.
   OMBA UNUSURIKE WEWE NA KIZAZI CHAKO.
   OMBA KIZAZI CHA MWENZAKO KINUSURIKE NA CHAKO KITANUSURIKA.
   MUNGU ALIONDOE JANGA HILI
   JIULIZE MZAZI ANAUMIAJE???
   MTOTO ULOMKUZA UKAMSOMESHA LEO HUJUI UTAMRFANYAJEE.
   MOLA WASAIDIE WALOANGAMIA KWANI WEWE NDO MUWEZA

   Delete
  3. Hujui ulichokiandika
   God bless you.Nakuombea ili Uwe positive

   Delete
  4. miherufi mikubwa kuandika sifuri..watu wazima wasiojua kuandika wanaudhi khaa!!

   Delete
 7. This is soooo sad! Esha did good to report but she expects help from useless people like Mange and TZ shaderoom? I wonder wat rehab can help Ray C at this moment.God see her through this.

  ReplyDelete
 8. JAMANI Msaada au Sijui ushamba,Mtu anavyoitwa Somo yake au Mwari wake,maanake nn?huyo somo ndo nn sasa??anafundisha au inakuwaje??
  Kuna mahali nimeona somo na mwari lakini somo mwenyewe hajawahi olewa kabinti kadogo tu afu mwari ndo anaedna kuwa jiko la mtu.Nitoeni tongotongo.

  ReplyDelete
 9. Jamani!anatia huruma yaani hata kama mtu huna
  ukaribu nae lazima ikuume.Dada sinta hebu hamasisha watu kwa jinsi unavyoweza, tutamsaidia na wewe utabarikiwa sana kuliko hivi umemuweka huku tunamjadili wakati hata hakuna namna ya kumsaidia.PLEASE DADA YANGU.

  ReplyDelete
 10. Jman naomba tupaze saut kwahili tukiwa km wanawake,haijalishi unampenda au humpendi,asaidiwe tu kwanamna yoyote ile,maombi,na unga aache kuvuta hakunakishindikanacho,tumsaidie mama ake ambae kwasasa Atakuwa anaumia zaidi yetu.tukumbuke hii inaweza kumpata nduguyako,mwanao,au ht wewe mwenyewe.dunia haina mwenyewe hii,nikuongeza nguvu awekwe huko apatiwe matibabu ya ukweli,na maombi pia.mpaka unga aache.chuki wekeni pembeni tuoneane huruma.

  ReplyDelete
 11. Alijidai sana hii Dunia ni noma ukijishaua sana lazima ushuke chini

  ReplyDelete
 12. Wote mlio post that Video hamna maana wazushi tu

  ReplyDelete
 13. Huyu c bule karogwa mbona alipona akaanza na matusi kutukana watu mfyuu mjifunze na kubeba mabwana wawatu

  ReplyDelete
 14. Daaaah haya maisha tuyaone tu hivihivi. Rayc ndo yule alikua anatikisa jiji la makamba na jinsi alivyokua na madharau na pozi za gali ya juu! Kwakweli walaaaniwe milele wauza unga wakina shamimu na wengineo

  ReplyDelete
 15. I can't imagine mama yake anajisikiajee mungu wangu. Baba Mungu mponyeshe kiumbe wako umpendae

  ReplyDelete
 16. Sintah my love mimi ni mdau wa blog yako tokea enzi za pretty sintah. Na mie nimefungua blog kwa ajili ya habari (udaku ukiwemo), ajira na ujariamali. domain ni www.getrude01.com. naomba msaada wako kuwajulisha members wa blog hii ili wapite huko wapate mengineyo. Nitashukuru kama ukinisaidia mamii. Ramadhan kareem

  ReplyDelete
 17. Ray C kapelekwa Soba house Rehab na Ruge Mutahaba,,,hakukamatwa na Police ila Polive walimpeleka hospital kwa matibabu baada ya kukutwa amelewa na alikua anasema anataka kujiua.

  ReplyDelete
 18. Malecela BLOG Fanya YAKO !
  kukiwa na madai ya ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’ na mwigizaji Flora Mvungi kusambaratika, mwana mama huyo amedaiwa kurudi nyumbani kwa mama yake mzazi, Kimara jijini Dar.

  Awali, mtoa taarifa wetu ambaye ni mtu wa karibu na familia hiyo, amedokeza kuwa chanzo cha Flora kurudi kwao Kimara ni mzozo uliotokea katika hoteli moja iliyopo Magomeni Mwembechai (jina linahifadhiwa).

  ReplyDelete
 19. OOT guys...naomba msaada nitumie mafuta gani ili nywele zangu ziache kunyonyoka. ninanyonyesha mtoto ana miezi saba sasa

  ReplyDelete
 20. Rc Wacha kwenda maeneo ya wauza unga fanya mazoezi jieshilishe na kazi yoyote ata kazi ya chekechea ina faha sana tu kulikoni starehe zisizo na faida , pole kwa yaliyo kukuta group unalo dill nalo sio bisa jiepushe makundi ya wavuta unga

  ReplyDelete