asas

asas

sintah

sintah

THE MBONI SHOW YAFUTURISHA WATOTO YATIMA DAR-ES-SALAAM

Mgeni rasmi Mama Samia akiwasili


meza kuu

muandaji wa shughuli Mboni Masimba kutoka chocolate princess

baadhi ya mabalozi waliofika katika shughuli hii

wageni waalikwa

dada Sintah na Jackie walikuwepo
shukrani Hussein Pambakali kwa baibui zuri

25 comments:

 1. Mmmh sinta hiyo miwani hapana. kama fidodido na ushungi wenyewe umekaa vibaya kwani lazima uvae miwani?

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe siadhan kama unaujua hata huo uislam maaana hapo umeanza na kutoa kasoro tu. kwahiyo kufuturisha wakristo ni dhamb? hivi Mungu angekuwa anawaza kama wewe mbona hata dunian tungeona Baraka zinaenda kwa waislam tu!wakifuturishwa Ikulu na Rais mkristo yenyewe ni sawa?acha kukariri dini na kujiona dini yako ndo dini.

   Delete
 2. MOLA AMZIDISHIE PALIPOPUNGUA NAVAWAZIDISHIE WOTEEEE WALOJITOKEZA KUFUTURISHA MWAKA HUU. NA AWAJAALIE WALOTANANI ILA HAWAKUJAALIWA
  MAREKEBISHO
  ILA KUFUTURISHA SIJUI NI FASHION AU LIPO KTK DINI ????
  SASA KAMA NYIE KINA BWANA ASIGIWE MPO SHARE YENU SIWANGEKULA YATIMA ! HUYO MWINGIBE KAVAA VIZURI ILA KASHINDWA KUJISITIER VIUNGO (HOYCE KAMA NTAKUWA SIJAKOSEA )
  INSHAALLAH MOLA ATUJAALIE TUIKUTE BA IJAYO ILA TUNAOFUTURISHA ,TUFUTURISHE KWA LILLAH YA ALLAH SIO KUJIONESHA NA KUWAALIKS KINA HATA WASO NA DINI
  MJITAHID MSOMEE FAIDA ZA KUFUTURISHA NA WAHUSIKA NI WAPI WATAOKULA LA KULETA THAWABU

  ReplyDelete
  Replies
  1. punguza choyo we kiumbe khee!!kwani chakula ni nini??si ukawape wewe hao yatima unaoona wamedhulumiwa na hao kina bwanaasifiwe. Kinachokushinda ni nini? badala ya kukaa humu nenda sokoni kanunue nyanya vitunguu viazi ufuturishe yatima kupoint watu hakutakupa thawabu yoyote sana sana utakuwa unakaa na njaa tu.

   Delete
  2. Mdau sijakuelewa uliposema hoyce hajajistiri,Ulitaka avaeje mbona yuko sawa tu,mengine umeongeasawa kwa hoyce sijui ulichokiona kibaya kipi,kidini kuna makosa kidogo ameyafanya mbony,Wengine hawakutakiwa kuwepo,watoto yatima yes,mfanye kutoka moyoni sio kwakuonyesha ili mpate thawabu katika fungazenu

   Delete
  3. Kwa kweli sijui watu kama hawa kwenye dini wanafanya nini kama kumpenda mwenzio ni shida mbona mnaharibu dini sana acheni jamani hizo chuki na upande wa pili maana hamna msafi dunia hii mpk mjione nyie mbingu ndo yenu tu wakati wote tunaisotea lakini siku zote umdhaniae ndie kumbe sie.Acheni chuki za kipepo ndo mana kutwa wanapigan huko nchi za kiislam kwa kisingizio cha kugombanishwa pye.Angalieni pepo msije mkaishia kuisikia hapa hapa.

   Delete
 3. Daah,naishi falme za kiarabu,nasema Watanzania mna ushiriano mzuri sana,ni nadra kuona wakiristo na waislamu pamoja kwenye mambo kama haya.CHUNGENI SANA HII TUNU MLIYOPEWA NA MWENYEZI MUNGU.

  ReplyDelete
  Replies
  1. huko si wakristo wanabaguliwa dadaangu!!utawaonea wapi? Ulaya ndo unaweza kukuta angalau mchanganyiko kama huo.

   Delete
 4. Hongera kwa mbony,nawakumbusha tu mpatapohela mkumbuke kuwekeza vitega uchumi vya maana hata bdae usije ukafulia ukachekwa tena,upatapo wekeza kufulia kusikukumbe as we know hela haina mwenyewe nihayo tu

  ReplyDelete
  Replies
  1. mi huwa nashangaa unapofutulisha hivyo, inamaana katika ukoo wako umeshawasaidia na wote wanauhakiwa wa kufuturu au ni kutafuta kiki jamani, maana msifutulishe wakati ndugu zenu wanateseka na njaa

   Delete
 5. mmh mboni kumbe nae anazo eeeh mana ugeni huo si hela ndogo hapo

  ReplyDelete
 6. Sintah Hiyo miwani ipumzishe sasa...ishapitwa Na wakati

  ReplyDelete
 7. Samahani kwa kuandika vitu tofauti na hizo pic za sintah ila ni jambo linalo nisumbua moyo wangu, kwa sasa nina umri wa miaka 32, ni mkristo na sina hata mtoto, nilishawahi pitia kwenye mahusiano mbalimbali ila sijafanikiwa kupata mtu aliekuwa tayari kuowana na mimi hasa kwa vigezo ninavyo hitaji mume wangu awe navyo, ni miaka 3 sasa sijawa na uhusiano wa kiuchumba na mwanaume yeyote zaidi ya kuwa na uhusiano wa kubuzi buzi tu na watu wasio na future au waume za watu ili mradi tu nipunguze mawazo au siku ziende au hata na mimi nionekane niko na uhusiano, miezi 2 iliyopita amejitokeza kijana ambaye ni ndugu wa rafiki yangu kipenzi, hapo kabla tulikuwa tunafahamian juu juu tu lakini miezi 2 iliyopita ameanzisha mahusiano na mimi na kudai huwa ananipenda sanaa na yupo tayari kunioa, na kweli alishamwambia rafiki yangu, mama yake na baba yake kwamba anataka kuniowa, tatizo mimi moyoni mwangu sihisi kumpenda najilazimisha kutoka nae out mara kwa mara labda nitampenda lakini ndo kwanza nahisi kumchukia, huwa anajitahi sanaaa kunionesha ananipenda kwa kuwa karibu yangu lakini bado nahis kutokumpenda, tatizo yeye yupo very serous kutaka kuniowa na ameshawafahamisha ndugu na ameshaanza mipango ya ndoa kwa kuandaa mahali, pete na namna ndoa yetu itakavyokuwa, naombeni ushauri je niendelee kuwa nae hivyo hivyo labda nitampenda maana sasa nina mika mingi bado kupata mwenza au niusikilize moyo wangu?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Usiki lizie moyo wa nini? halafu huna hata mtoto mara mia ungekuwa na mtoto hapo sawa au unataka uzeeke bila ya mtoto na bila kuwa na mume? ushakuwa mkubwa bana jiongeze

   Delete
  2. mama yangu aliniambi hivi,olewa na mwanaume anaekuenda na sio unaempenda why?Anaekupenda atakutunza na kukulinda zaidi ya mboi ya jicho lake akini ukijitia ujuaji kwenda kuolewa na mwanaume unaempenda muda si muda utarudi hapa ukilia.Akili za kuambiwa changanya na zako

   Delete
  3. Kitu cha kwanza jiulize kwanini humpendi.huwezi kutompenda mtu kama hakuna sababu maalumu.ukisema humpendi tu si kweli.kunakitu hukipendi toka kwake.
   Ushuhuda...mimi kunamtu nilikua simpendi kwasababu fulani ila sikuwahi kaa nae na kudadisi zaidi.nilipomjua nikajua kumbe I was very wrong for judging him.sasa we are married and I'm the happiest woman in the world. So inabidi ujiulize kwanini Humpendi, ukijiridhisha fuata moyo wako.usikimbilie tu ndoa kwa mtu ambaye humpendi utakua humtendei haki mwenzio na wewe mwenyewe.

   Delete
  4. hapana usiendelee nae muache ila tuwekee no yake hapa tafadhali.......

   Delete
  5. hapana usiendelee nae muache ila tuwekee no yake hapa tafadhali.......

   Delete
  6. huyo ndio mume wako wa kweli. Mara nyingi shetani huingilia vitu vyenye thamani kubwa kwenye maisha yetu na hasa mahusiano yaliyo mema. Yaani tengeneza mazingira ya kumpenda huyo kijana maana utafurahia maisha ya ndoa sana. Lakini ukimuacha huyo utaweza kujuta mno baadae. Nakutakia maandalizi mema katika ndoa yako

   Delete
 8. Nyie mbona hamjamjibu yule dada alouliza kwa post ya jana kuwa Splina na Trevo ipi inafungua mirija ya uzazi msaidieni mwanamke mwenzetu mwenye ushuhuda jamani hata wengine itawasiadaia pia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. akaulize dakitari eboo...

   Delete
 9. mdomo sasa kama kisimi sinta

  ReplyDelete
 10. Sintah akikomaa na kitu, mpaka kero. Hiyo miwani tangu tukushauri uiache wala huelewi. Kama ni ya macho ivae pale inapobidi tu. Wewe unaivalia kama fashion vile. Unaonekana kituko sana... utadhani umekuja mjini leo. Haya huyu Mboni nae huwa mpenda sifa sana. Huwa anafanya vitu kwa ria kama mtakuwa mnanielewa. Ile ngoja watanikoma, watu wanione mimi mtakatifu sana (ndio huwa anafanya haya mambo kihivi). Akienda tu kumuona Sheikh wa Dar basi siku hiyo itakuwa matangazo (mara utaskia Diamond na Wema nina salamu zenu kutoka kwa Sheikh wa Dar --- hapo anatangaza Instagram). Jamani si uwapigie simu uwaambie, mpaka dunia ijue kuwa ulienda kumuona Sheikh Mussa!!! Na mipicha itatupiwa kila kona ya social media. Asiende kwa watoto yatima itakuwa matangazo. Jamani pepo hazipatikani kwa maonyesho. Unaambiwa ukitoa tu sadaka mkono wa kulia basi wa kushoto usijue. Unapofanya matangazo hivi na maonyesho ili uwaonyeshe binadamu unakuwa umetoa sadaka yako bureeeee. Nakwambia kiroho safi kabisa wala sikujui hunijui -- so sina cha wivu wala nini. Umezidi maonyesho hadi kwenye amali za kheri.

  ReplyDelete
 11. Sinta tusamehe wenzio tafadhali na hiyo miwani mama inatosha sasa tushaiona unatupa tabu, maana najisikia haya kama wewe ni dada yangu vile.

  ReplyDelete