asas

asas

sintah

sintah

WEMA SEPETU: DIAMOND ANANIFANYIA VITU VYA AJABU SANA

Mbali ya kutaka kuyamaliza Wema amefunguka kuwa bado kuna kutoka kwa Diamond ambaye amedai kuwa bado anampinga kwenye mambo mengi, ametolea mfano  jinsi Diamond alivyotaka kufanya kumpokonya ukumbi wa King Solomon kwa kutaka kulipia siku moja ambayo na yeye amepanga kufanya show kwenye ukumbi huo,
“Me naandaa hii show ya Christian Bella, nimepata ukumbi pale King Solomon sawa, yule mtu wa King solomon nimefika pale, tumeshaongea bei ya ukumbi na kila kitu nikamwambia mimi hapa nitakuja kulipa jumangapi jumatatu, tumeongea ilikuwa Ijumaa, Jumamosi naongea na yule mtu wa King Solomon, Jumatatu naenda pale naambiwa hivi, naambiwa kwamba Diamond anataka kuuchukua ukumbi kwa tarehe hiyohiyo tisa unaona, nikamwambia hivi, nikamwambia hivi ye anataka ku’host party? akanambia nimemwambia ukumbi umechukuliwa akaniuliza na nani, nikamwambia kachukua Wema, akanambia me niko tayari kupanda dau, Unaona” Wema aliendelea kuelezea “Mwisho wa siku me namchukulia Diamond kama mtu ambaye amekuwa kimuziki lakini yeye ki’personality bado”
Hata hivyo Wema amesema kwasasa hawezi tena kurudiana na Diamond, amedai kuwa kwasasa anamuona kama icon wa muziki wa Bongo tu.

49 comments:

 1. Ukiona X-WAKO ANAKUFOLLOW FOLLOW MAANA BADOOOOOO APENDA WEWE ...HAHAHAHAHAHA !

  ReplyDelete
  Replies
  1. KUNA MKAKA HOUSTON Anamguatilia x wake huyo mpaka inashangaza.mara amtangazie demu wake wa zamani gay ,Mara amtangazie hazai ,Mara yupo mjini yaani jamaa huyo namwangalia namwona chizi .Kufuatilia demu kaolewa na anawatoto na mjanzito sasa hivi Halafu jamaa yupo obsessed na demu huyo wa zamani inaambiwa mpaka sasa amehack simu ya demu kutwa kusoma text zake .Halafu ana mke na watoto hapa houston .Jamaa chizi kinoma .

   Delete
  2. Namjua Huyu mwanaume aliandikwa vijimambo anaendaha apartment za watu wakati watu Hawapo nasikia .Mpaka Leo hivi anamfuatilia demu mitandaoni na anajitahidi ku m black mail.Mkaka mgonjwa wa akili .Nasikia huyo demu alikuwa anashangaa mtu gani anakwenda nyumbani kwake nawakati hayupo.na huyo kaka mjinga alikuwa akiingia anakula anajilaza kitanda cha demu na aliiba makeup za demu .Demu akaenda police Halafu akaita ADT wakaweka video .Jamaa anasikitisha kwenye video anajilaza kitandani .demu akujaribia kutoka kazini jamaa anakimbia.sema demu alikuwa hataki kumpa chance yakujitetea .Video ipo ili wekwa you tube demu akaitoa.KWA HIYO WEMA MSAHAU NA MDHARAU JAMAA .USIMPE ATTENTION anatafuta ways za kuongea na wewe.Move on

   Delete
  3. Ukiona x wako anakusema mabaya na kukuzulia mabaya
   Ujue huyo anakupenda kufa.ukiona upo na mtu anamsema vibaya x wake ujue Hapo anampenda x .

   Delete
  4. I guess I know him.anamuulizia kwa watu anasharau huyo kaka na wakati hapa mjini houston analishwa na kuvalishwa na wanawake .Hafanyi kazi kutwa kwenye Internet ku black mail watu na ku hack simu za watu .Alikujaga kwetu akaomba kutumia simu we bwana jamaa Akapiga international call bill hiyo .Simpendi

   Delete
 2. Jamani Wanawake wenzangu ninaswali , natafuta mtoto sasa cha ajabu kila nikijamiiana na mbegu za kiume kuingia mwilini mwangu , naumwa tumbo kali kama la period , napata homa ya ajabu , maziwa yanavimba na kichefuchefu cha hali ya juu , then baada ya muda ile hali inapotea na napata period kama kawaida

  Kuna mtu alishakutana na hali hii jamani ? Please mwenye ujuzi kabla sijaenda kuingizwa madole na magayno

  ReplyDelete
  Replies
  1. POLE MALIJUA TATIZO
   ITAKUWA MJELEBI MKUBWA
   ANAFANYA KWA PUPA UNAPATA MAUMIVU NDANI
   MUONE DAKTARI YAWEZA UKAWA NA UVIMBE AU KIJIUVIMBE
   UKIFANYA HESABU SIKU YA KWANZA ULOONA DAMU MPK YA SIKU YA13 .
   ILE YA 13 NDO SIKU YA KUCHEZA NA 14.
   MUNGU AWE NANY WATAFUTA WATOTO AWABARIKI NA AWAPE

   Delete
 3. Ex's wakiwa bado wanapendana issue km hizo lazima ziwepo!ihivyo ni jambo la kawaida not a big deal...!so let's wait n watch the next movie!
  Naimani wote wamemove on with their new partners..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nikawaida huko Bongo .In USA its a crime its called STALKING
   It's a psychopathic narcisstic .

   Delete
 4. wema huna jipya, kila siku una scandle mpya una matatizo gani wewe au wewe ndiye uliye umbiwa scandle maishani. mara kukimbizana na mashoga mara sijui nini. una matatizo wewe. huna jipya.mara umetoka na viboi. jirekebishe unatia kinyaa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mama yako ndo anatia kinyaaa

   Delete
  2. we mbwa koko mkome mama wa mwenzio kwani ndo aloandika hapo? kisa hilo changu lenu hata haliwajui ndo mnakuja tukania wenzenu mama zao shwain wahed wewe mamako hatii kinyaa? ndo mana huna mbele wala nyuma kauze mkaa ule mfyuuu!

   Delete
 5. wema kaa kimya why sasa ukae unaanika mambo yenu na Nasibu kama mlisha achana. move on.

  ReplyDelete
 6. Just move on lady...........Nini shida? Khaaaaa1

  ReplyDelete
 7. WEMA NDO NANI KATIKA TASNIA YA MUSIC? TRA KODI HIYOOOI KWA WEMA MAANA KILA SECTA YUMO:KUUZA LIPSTIC ZIKAMSHINDA,DUKA LA VIPODOZ CHALI,APPLUCATION HALI JOJO, RANGE MNADANI,ANACHOFANIKIWA TU NI BATA LA BIRTHDAY YAKE maana hapo team yake haichangii chochote so wanajimwaga kwa wingi. ndo hasara ya kuwa na team CHOKAMBAYA.
  NASUBIRIA MAPOOVUU,UKISIKIA YALAA LIMEMPATAA MHUSIKA

  ReplyDelete
  Replies
  1. haswaaa timu choka mabaya matajiri wa matusi baasi lipstick zimedoda...

   Delete
 8. Safi sana Wema. Mungu akubariki.

  ReplyDelete
 9. Jamani wanawake wenzangu,tujifunze kuwa ukiachana na mtu ht km unampenda vp,fahamu yakuwa Wengine unakuwanao wakukupa fundisho,siokilamtu unaekua nae utadumu nae,Napia mlango mmoja ukifungwa mingine ikowazi,sasa ukikazania wewe mwenyewe unajiharibia future sababu mungu kakupangia kwingine utafikaje nawewe hutaki ku move on?leave the past behind take a step forward gooo,mengine mnajitakiaga maumivu ukijipenda hutakubali mwanaume akuumize bwana.utajijali wewe kwanza nautasonga mbele hakunakitu kigumu ukiamua utasonga tu.Haya km hutaki endelea kung'ang'ania uumie vizuri.am done

  ReplyDelete
 10. Leo ngoja tuone comment zitakavyokuwa.

  ReplyDelete
 11. Mfike mahala mkue kiakili mabifu hayana faida yoyote sana mnajichumia dhambi mkumbuke duniani tunapita I dunia tutaiacha maisha ya apa duniani ni ya kupita tupendane

  ReplyDelete
 12. This gal is going kukuz. So its Diamond who is 'ruining' her precious life and she has forgotten all the wrongs she did to him? NKT After decampaigning him in kili awards and MTV awards? Posting Zari's pic and saying 'mimba my foot', sending her stupid team to abuse Zari and her fam,encouraging Mange to make Zari's life hell on her blog, calling Tiffah ugly etc.she thought God is hers? Life made a uturn for diamond ever since they broke up.Whatever he touches turns into Gold. She is just embarassed and now wants sympathy. How i wish Diamond never ever agrees to talk to her.Silly gal

  ReplyDelete
  Replies
  1. zari hata huku kwa sintah unafika kucoment!!! dah! we kiboko.whatever diamond touches turn into Gold sababu ni mchapa kazi that has nothing to do with her X or her current girlfnd.bila hata wema au zari bado diamond atakua diamond tu.

   Delete
  2. Zari jazba ya nini?

   Delete
  3. This comment has been removed by the author.

   Delete
  4. punguza basi Zari, si wakwako jazba za nini? si umeshasema hawezi rudi?

   Delete
 13. Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na dunia vyote vinavyoonekana na visivyoonekana kwa macho akutangulie wema. Mungu akunyooshee mapito yako daima. Wewe ni bongee LA demu na roho yako ni ya kipekee sanaaa. Mapungufu mengine kila MTU anayake. Songa mbele endelea na maisha yako, kama baba tiffa bado ana kinyongo na wewe ni yake na Mungu wake. Songa mbele! Ndo tatizo LA kutoka na mswahili ni asili yake amekulia uswahilini upana wa fikra bado ni mdogoo sana, na elimu nayo inachangia mnoo. Love u wema

  ReplyDelete
 14. tatizo LA wanaume wa kiafrika wanyanyasaji na wanapenda kunyenyekewa kama miungu, MTU ulikua mnatombana kila kukicha alafu mnaachana mnageuka maadui?? Maisha ni Mungu tu mpangaji na yeye pekee ndo ajuaye kuna nini mbeleni, khaaa! Huyu domo Java kamdhalilisha sana wema lakini kuna siku atakaa chini akumbuke yoteee, kama sio wema aliyempenda kwa roho nyeupe toka alivyokua arosto choka mbaya na kalikiti yake kichwani enzi hizo diamond m-bovu kama chokoraa Leo hii anajiona beberu!!! Hayaaa yetu macho,kila LA kheriii yote ni Mungu

  ReplyDelete
 15. Diamond alishamove on why na Wema asinyamaze afanye yake? Mjini raha sana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. unauhakika kama ka move on au yanakutoka tu

   Delete
  2. kamove on sanaa we ulitaka afanyajee? mnalo bibi kusubiri meli uwanja wa taifa mfyuuu…..

   Delete
 16. Wema huna la kueleza kwa wakati huu usitake kutafuta kiki kwa kumtaja Diamond wewe kama kweli ulikuwa mlipaji na unajisifu kuwa una pesa za kutengeza nywele kwa milioni moja hivi likosa hata Deposit ya laki tano kufunga ukumbi kwenye hiyo account yako au unataka kuchezea watu shere,Sasa kiki zimekuponza wenye cash wamefika na wamelipia tafuta ukumbi mwingine hata nenda CCM Kata 14 upo wazi mwananyamala ndio size yako huko.Utajireduce mwaka huu wa magufuli

  ReplyDelete
 17. wema, mbona vibwana unavyo tena vi handsome boys, akina davto, akina idris. why unangangania hili li dimondi.... au lina pipi tamu....

  ReplyDelete
 18. TATIZO USHAMBA
  KATOKEA TANDALE
  ELIMU DARASA LA TANO
  HAKUWA NA MARAFIKI WA MAANA
  HANA MARAFIKI WA MAANA
  ANAJIONA KAFIKA YY NDO TAJIRI TZ
  NA WEWE WEMA SIUKAE KIMYAA SASA UKIHADITHIA ITAKUSAIDIA NINI
  GROUP YAKO IKO FELIIII KABISA HUNA WASHAURI

  ReplyDelete
  Replies
  1. we wa uliyekulia uzunguni umefanya nini?

   Delete
 19. OUT OF TOPIC: Nisaidieni wanawake wenzangu. Nipo njombe kikazi. Mashavu yameungua kwa baridi la huku. Nitumie lotion gani?? Uwa natumia NIVEA.Natanguliza shukrani za dhati. Ramadan Kareem.

  ReplyDelete
  Replies
  1. achana na mafuta malaini njombe huko, paka vaseline ya mgando au hiyo nivea ya mgando kama mpenzi wa glycerine tumia. lotion zitakuumiza

   Delete
  2. vaseline upake tena usindike hashwaa lotion paka ukirudi kwenu au changanya vaseline na nivea kama mimi kipindi cha winter ndo nafanya hivyo vinginevyo nageuka kenge mtu!

   Delete
 20. Ili wema afanikiwe akubali kujishusha aache tabia ya kuwatawala wenzie,AKUBALI USHAURI. suo kila siku yeye tu aonewe huruma,hiyo ni biashara ya watu. kama angekuwa na nia ya ukumbi angebook kwa advance kabisa. ILA kinachonishangaza yeye na music wapi na wapi. aache mashindano yanayomcost hela.kumbi zipo nyingi.ATTENTION SEEKER

  ReplyDelete
 21. ILE filamu iliyozunduliwa na omotola ya SUPERSTAR iliishiaga wapi? vipi filamu ya van vicker. what about her company endless fame?

  ReplyDelete
 22. Talaka ya shingo upande, ao wanatakana uwezi mwacha mtu na bado unafatiliana . apa ni kuchukua porp con kwa sauti ya sintah na kucheki movie.

  ReplyDelete
 23. Watu wenye nyota ya LIBRA wana roho nzuri na wepesi kusamehe that u Wema nyota yako my dear LIBRA.no drama

  ReplyDelete
 24. wadau emu nisaidieni kidogo hivi kijana wa kimasai anapovua shanga aliovaa shingoni nakukuvisha anakua kamaanisha nini

  ReplyDelete
  Replies
  1. kakudondokea.. in sukumas voice

   Delete
 25. Mie mwanaume tukiachana hata akishinda medali napotezea tu, especially mtu mwenyewe Mswazi ka Diamond!

  ReplyDelete
 26. Eti wajameni rangi ya damu ya mzee inaendana na rangi gani?

  ReplyDelete
  Replies
  1. gold au orange.. ila gold ndo bomba zaidi

   Delete
 27. So wen u were trying hard to bring him down with Jokate n yo useless kili awards u thought u were giving him food? U reap what u sow gal.

  ReplyDelete