asas

asas

sintah

sintah

NI MWENDO WA MAFANIKIO


Picture inajielezea haina haja ya kuiongelea sana...

43 comments:

 1. Afadhali wajenge diamond ahamie hukohuko. Ili wanaomfatilia wakome hasa familia yake akakae huko atulie mapenzi hayaangalii umri na hata kama zari ana watoto 10 hakuna shida bora yeye kazaa kuliko wanaotoa mimba kila kukicha. Ningekuwa na uzazi kama zari ningetotoa haswaaa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. sema shost aliolewa mama kardashian kris na watoto wanne akaenda kuzaa wengine wawili kwenye ndoa mpya sembuse zari watatu? zari zaa kwa raha zako maneno yao hayo kumpa moyo nyumbu wao ila kinawaumaje?
   na mjengo wa south marufuku waswaz wa tandale uswaz wenu mwisho madale! nyumba inavutiaaa utadhani wanaishi wazungu kumbe ndani yameshindiliana na uswaz wao kweli masikini akipata matako hulia mbwataa … @ esma plus mama !

   Delete
  2. kwani wazungu ndio kina nani 11:52? Nao si binadamu kama wengine tu. Yani wewe unaona mzungu ni bora kuliko mwafrika? mshamba mkubwa wewe... mxiuuuuu!!!ondoa hayo mawazo yako ya kikoloni..you need exposure, safiri uelevuke.

   Delete
  3. Sasa akikaaa huko South kiki atazipataje. Si atasahaulika, manake huku bongo ndiko anakozipata kiki mpaka anafuma Kila pembe, kwa kuwa bongo ni kwake na mcheza kwao utunzwa, huko jeeee!!!!!

   Delete
 2. Tena natamani zari amshike diamond hadi asahau kwao akae atulie na Mama watoto wake aachane na waswahili

  ReplyDelete
 3. Ngoja nisubiri mapovu ya team mnyumbuliko,maana njaa zinaletaga hasira kweli.ila ukila ukashiba nayako yakikuendea huwezi kuwa na hasira namtu.mle mshibe mfanyekazi kwani hamumsikii magufuli kampeni simlimpigia wenyewe?mkipanic haisaidii bora mle popcorn tu taratibu mcheki movie Kwaraha bila chuki.

  ReplyDelete
  Replies
  1. let them panic at their own risk...hahahaa

   Delete
 4. kazi kwa wenye kupanua midomo yakwao yanasongaaaa

  ReplyDelete
 5. Acha awatoe mapovu mwanamke asifiwi kwa ujinga anasifiwa kwa kazi Na maendeleo Bibi mkomao ndio maana kachizi chezea kupewa madongo ya kweli ata kama Ana watoto waliomzidi umri huwezi kujilinganisha nae ata chembe jiulize iyo nyapu uliyoiuza dunia nzima imekupa faida gani mwisho wa yote zeruzeru kakuacha kachoka mwanamke una nyota ya paka kupenda Na wachawi kaoge maji ya bahari maana sio kwa gundu Na nuski izo ulizonazo kila unalofanya halifanikiwi kutokana Na mdomo wako ndio unaokuponza ao machangu mwenzio wanaokusifia wanakupoteza jiulize toka wamekusifia unarudi nyuma au unaenda mbele

  ReplyDelete
 6. hivi sintah hawa walambeka wameelewa kweli hata alicho andika hapo Zari, better ungewatafsiria.gold digger anafanya vitu vya maana wengine gold diggers hawana kitu.

  ReplyDelete
 7. Mazuri ya kwake mabaya ya wenzake anaweza katekeza msingi na malengo hiyo yotee majungu si mtaji useme upate utajirike majungu sio biashara sema ufanye utajirike, R.I.P BANZA STONE. TUNAKUKUMBUKA BADO KWA WIMBO WA MTAJI WA MASKINI

  ReplyDelete
 8. HAHAHA SINTAH UNAJIWEZA.

  ReplyDelete
 9. sinta... blog imekushinda yaani imekaa kushadadia tu mambo ya zari haya babilisha jina basi blog yako iitwe chibus blog maana ule moto wa blog wa miaka ile na sasa yaani ni tofauti huyo zari unajikomba ye hana habari na wewe... badilika

  ReplyDelete
 10. ovyooooooooo! sinta mfukunyuku utadhani unalipwa vileeee ...zari njoo mchukue house girl wako huku maanaa blog inamshindaaaaaaa kawa ovyooooooo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. lamba ndimu ushushe gubu!

   Delete
 11. Hahahahahahahahahahahahahahahahaahaha tumemchokaaaaaaa na uwongo wake... ana pasward ya dai.... kaitumia kupost just to make herslf feel better after isue ya birthday anataka kutudistract. Tumestukaaaa hahahaha

  ReplyDelete
 12. Hahahahahahahahahahahahahahahahaahaha tumemchokaaaaaaa na uwongo wake... ana pasward ya dai.... kaitumia kupost just to make herslf feel better after isue ya birthday anataka kutudistract. Tumestukaaaa hahahaha

  ReplyDelete
 13. SHE BEHAVES
  LIKE SHE WAS POORRR
  IVAN ALIKUWA NAE KAACHA MAJUMBA NA MAGARI ZAID YA PALACCCCCCCC
  USHAMBA UMEUPATA WAPI NAWE UKO KAA MAN...,,,
  HIZI SOCIAL M.., ZITATUTIA UJINGANI WATU WEUSI MTU UNATAMANI UMKOMESHE X WAKO . UNACHEZA PICHA ZA UCHI USENDI INSTAG AU SNAPP
  KINA KLYN WATASEMAJEEEEEEE

  ReplyDelete
  Replies
  1. na wewe hapo umeandika nini? hebu rudi shule kajifunze kusoma na kuandika then urudi kucomment kwenye high class post kama hizi mfyuuuu. wewe ni wale ambao hawajaelewa Zari na chibu alichoandika kwenye post zao. khaaaaa watu wengine kero kweli.

   Delete
 14. Mbona huachii comments au maji yamekuzidi shingoni... itabidi utrol ili uweze kuokoa jahazi

  ReplyDelete
 15. Hongereni sana,Picha zinaonyesha utu uzima sasa.
  Jamani uzee haukimbiwi.

  ReplyDelete
 16. SO WHAT???? Unajitahidi kutufanya tuone hakuna tafrani wakati penzi linawaka moto, sinta unatumika vibaya na huyu bi kizee mwenzio, njaa itakuua wewe sinta, mtu mzima vyoooooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. kizee bi mkubwa wako hivi mamako na zari nani kizee? zari 35 mamako ana naye ni 35? zari ni sawa na dadako bisha?

   Delete
 17. Mama zulekha uyooooooo

  ReplyDelete
 18. Late post we don't have time to discuss about it. anyways....mbona huweki videos na pic za mtoto kwa kwanza wa kike wa Zari? next door zinaongelewa hadi basi, sijui walikuwa wapi ziku zote hizo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mbona ni heshima sana kama anayeeeeeee!!!!!!!!

   Delete
  2. yule ulomsaiia kumza ama maneno ya gagula anaacha ku update life yake imefikia wapi anakazana na zari atamuwezea wapii?

   Delete
 19. du! uongo unamwisho wake kesho tuwekee mwanae wa kwanza Zulekha ili watu wajue kama na yeye ni zaidi ya fake Nyampua.

  ReplyDelete
 20. jitahidi kumsifia Mama Zulekha labda atakupa kazi ya kupiga deki kwenye mjengo Sinta.

  ReplyDelete
 21. hongera za0. jamani natafuta mafuta mazuri na dawa nzuri ya nywele nywele zangu zinakatika sana. pia naomba na anaejua mafuta mazuri ya muilini maana nimepauka nami nataka kuwa mweupe kidogo sio sanaaa kama wakina mwafulenge.

  ReplyDelete
 22. watu wajanja kweli wamekazana kumchafua zari na kumtungia uongo ili kupumbaza watu na talaka duh! kumbe ndani kumoyo wanaumwa hatariiii… zari Mungu atakulipa mara dufu!

  ReplyDelete
 23. HUDDAH NAYE KESHAFANYA YAKE KWA ZARI MBONA ATAISOMA NAMBA MWAKA HUU,

  ReplyDelete
 24. Sasa hivi si anamuona huddah mbaya baada ya kubaini katembea na Diamond walipokuwa wote marekani.

  ReplyDelete
 25. Mwanae wa kwanza ana miaka 28 Diamond anamiaka 27 patamu hapo maskikini mdogo wetu domo anawangiwa na huyu mama

  ReplyDelete
 26. wacha tu awanyooshwe kidogo kidogo hivyo hivyo wavue tu chupi diamond si wanajileta wenyewe, ukimaliza africa mashariki nambie tuingie na kwa Kagame sasa manake kule ni balaa

  ReplyDelete
 27. Muosha huoshwa nimeipenda sana hiyo ya Huddah

  ReplyDelete
 28. Jamani muoneeni huruma mwanamke mwezenu, asije akaaza kutembea uchi tu barabarani kwa kumfurahisha domo

  ReplyDelete
 29. hata km ungekuwa wewe usingeweza kumuacha hudah na kale kaumbo kake kalivyokuwa katamu

  ReplyDelete
 30. Sinta tuleteee habari za Idrisa bwana huku mtaani kila kijiwe wanasema eti jamaa ni shoga, tupe ubuyu huo tumechoka wa zari na diamond

  ReplyDelete
 31. Shoga kweli kwani uongo

  ReplyDelete
 32. Zari anajua kubeba wanaume wenye fwedha. Diamond amemlipia kodi ya pango ya duka lake huko Uganda mfulizo na sasa amemnunulia nyumba. Ingawa duka lake la Uganda limefungwa baada ya kushindwa kulipa pango la miezi mitatu, nadhani Diamond atakwenda kuligomboa tu. Kijana Diamond fedha ipo sana siku hizi, na zari analijua hilo; mwezi huu tu Diamond kaingiza zaidi ya dola laki nne kwa mashoo aliyofanya Tanzania, Australia, Marekani na Afrika ya kusini mfululizo ndani ya mwenzi mmoja tu. Kwa pesa hizo Zari atazaa mfululizo sana kusudi asimpoteze Diamond kabisa; ni pesa nyingi ambazo hata huyo mume wake wa zamani hakuwa anatengeza.

  ReplyDelete