asas

asas

sintah

sintah

OUT OF TOPIC DAY

Dear wadauziii
Week nzima hii hatujajua mambo ya OOTD,Sasa leo ni weekend basi si vibaya kujua mambo mengi yaliyoigusa jamii yetu week nzima, habari yoyote kwetu mi newzz hivyo tuambie ni wapi na nani alihusika katika hiyo habari

Mjiwe kujimwaga banduguu wapenzi.


34 comments:

 1. ivi makonda amefikia wapi na zoezi la kukomesha mashoga jijini? na ile ya kufungia au kupiga marufuku vilainishi je.

  ReplyDelete
 2. Hata kama ana watoto 10 jamani Zari bado bomba. Watu wasiokuwa na kazi kutwa kucha kufuatilia habari zake. Au wanamtaka Chibu. Wataisoma namba mwaka huu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. nani kamfatilia zari km siyo yy kujihendua km mtoto mdogo kuweka mapicha ya uchi kwenye mitandao pamoja na shogaake sintah hata km ana maisha mazuri au majumba ya kifahari siyo lazima cc tujue maana hayatusaidii kitu akimwambia mungu asnte tu inatosha na huyo diamond kumwambia mwanae akiwa mkubwa akitunze wasikile sana ndo nn sasa c unamtukana mwanao yan kewl u star ni uchizi heri yetu cc wazibua vyoo

   Delete
 3. Jamani let me make clear about zile pic za uchi alizopigwa yule dada. I know her inn and out na niko jirani naye hapa. ni hivi: huyu dada hajawahi kuolewa ila ana binti mkubwa sana tu alizaaga enzi hizo za nyerere. huyu dada ni jobless hapa bongo apate danga limdo ndio limpe pesa hiyo ndio life style yake. huyo jamaa aliyempiga pic alikuwa ndio bwana ake permanent ndo alikuwa anamuweka mjini anamsupport financially ila demu haridhiki, na hizo pic walipigana kwa kupenda wenyewe, sasa huyo bwana akasikia tetesi kuwa demu wake ni mwingi so ikabidi amfuatilie kwa karibu ndio akamfumania na jamaa mwingine ndio akahamua kumharibia dada wa watu kwa kurusha pic zake na hii imetokea tu last month, hakuna cha miaka 7 wala mtondo goo.. Na huo ujumbe mwingine unaosambaa kuwa amekunywa vidonge akafa ni uongo yupo hai anaendelea na maisha yake wala hajali lolote, sisi huku ndio tunaumiza vichwa kumuonea huruma, hafai kuonea huruma hata kidogo, maana akimshika mumeo unamsahau fasta. Huo ndio ukweli wa huyo dada jamani lets close that chapter maana ndio habari ya mjini kila mtu anaiongelea. Lets go for OOT jamani tupeane maumbea mengine ya kika Huda, Vera, Zari na ze princess's birthday. oyoooooooooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwahio walivyohojiwa redioni mume, mke na best man pia was fake? maaana watu walikuja kuconfirm baada ya audio.... bongo kuna visa jamani

   Delete
  2. Bifu la kutengeneza
   waliohojiwa redioni maharusi feki waigizaji wasikilize utagundua wamejipanga kiaina
   jiulize zawadi zinafunguliwaje na msimamizi?
   ukiangalia video ya ngono wanatiana kupitia nyuma njia ya kawaida sio tigo
   Huyo binti hakuliwa tiGO jamaa alituma picha za tiGO kuashiria za mtu mwingine sio yule mdada kuna tofauti ya matako anayeliwa tigo ana mavuzi

   Zile picha za tiGO ni tofauti kabisa na hizi za huyu dada

   Kwanza wahusika ni wawili tofauti angalia maumbile ya mwanamke
   Huyu mwenye msiba yeye amenyoa
   But
   Huyu wa tiGO yeye ameachia fasheni yake ya kufuga mavuzi
   nimesikia wanaotiana sio watanzania mdada unaesema ni jirani zako una uhakika? udaku unavyojua kufukunyua mbona wasimuhoji yeye?
   picha imechukuliwa mitandaoni wahusika raia wa nchi jirani

   bongo kuna visa hii imepita tusubiri nyingine

   Delete
  3. Mdau 10:34 unayosema hayalingani na mdada kwenye picha siamini ana mtoto mkubwa anaonekana umri wa mwanafunzi wa chuo

   Delete
 4. msaada jamani, mwenzenu nina matumizi mabaya ya pesa yaan nikishika hela sijui hata zinaishaje japo sinywi pombe na wala sio mtu wa starehe...ushauri plz

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mifuko yako imetoboka mpendwa jiombee sana. Pia weka mazoea ya kuandika priorities zako mara kwa mara bila hivyo utakuwa ukipata hela unaitumia tuuuuuuu bila kujua kipi kianze kipi kifuate. Pole sana.

   Delete
  2. Pray for your job and salary na utoe fungu la kumi.

   Delete
  3. same here mpenzi, fungua account bank poteza card ya ATM kwa makusudi (lol).....lol utaona tu uvivu kwenda counter kudraw hela ukifikiria na makato utachoka mwenyewe. au kopesha watu, me nakopeshaga watu wafanyie biashara me nafanyaga hivyo pia .Tena ukifika CRDB na ile foleni utasahau kabisa blouse uliotaka kununua ...(sintah tuwekeee viemoji jamani)...basi ndio hivyo shoga hapo peleka bank...maana hizi tigopesa zimejaa kila baada ya hatua mbili utajikuta tu unatoa hela....

   Delete
  4. Mmmh!Nenda kaombewe.

   Delete
  5. asanten wapenzi ntafanya hivyo...fungu la kumi linanihusu kwa kweli

   Delete
  6. shosti iyo ilikua mimi 4years ago, nilifika 26yrs na kazi nzuri lakini sioni hata senti moja at the end of the day. nikaanza kutafuta solutuon mpaka leo ndo kafanya na mambo yangu supaaa....

   1. TOA FUNGU LA KUMI IMMEDIATELY(ukipokea mshahara tu mrudishie Mungu chake fastaaa,utashangaa mambo yatakavyokubadilikia) Mungu atakulindia hizo nyingine na anakata kabisa tamaa za kijingajinga za kukupotezea hela.

   2.BUDGET (weka bajeti yako ya kama ni wiki au mwezi na uifuate kama vile ndo roho yako,nunua vya muhimu tuuuu kama ni chakula,mafuta ya gari, urembo etc

   3. ACHA MITOKO ISIYO YA MAANA ( umesema wewe si mtokaji wala cha pombe,thats very good but hata zile tokatoka na mashosti mara twende kula mishkaki mara twende wapi,yaani kata kabisa) kama ni starehe ni kwa ela za buzi thats it!

   4. Automatic savings ( baada ya kununua sijui chakula, mafuta ya gari, zinazobaki ni unaweka kwenye savings accouunt na unasahau kabisa!!!

   Delete
 5. Nimechoka na Maumbea ya Maisha ya watu , Wanawake wenzangu nisaidieni Hospitali gani nzuri kwa kliniki na kujifungulia ? Please Maoni yenu Muhimu sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Agakhan hospital

   Delete
  2. Hatujui uko wapi,au tukikuambia hospital ambayo iko Dar wewe uko Arusha utaenda tu?kwa Dar nenda Aghakhan.

   Delete
  3. Ipo kambikatoto

   Delete
 6. HABARI YA MUJINI talaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaka. Piga chini, chezeya mzungu wewe. Mtu acha awe mwehuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Tupe ubuyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. mtu mzima hovyooo! taahira wahed!

   Delete
  2. mmmh hebu mwacheni yule ajuza jamani tumechoka na story zake. leta story za Kidoti na kiba.

   Delete
 7. Kimenuka huko instrag. Le Mutuz is on fire

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tiririka basi shosti.

   Delete
  2. Eti ni kweli anaoa? anamouoa nani? Am feeling sorry for that woman...goosh

   Delete
 8. Comment unaachia jioni afu tudiscuss nini sasa sinta? sikuelewagi

  ReplyDelete
 9. Sintah kulikoni tukitoa comment huziachie we cndio umetuambia tujiachie

  ReplyDelete
 10. Duh lemutuz anachambwa adi unaesoma unajisikia aibu...teh teh teh! Mwanaume kuchambana na mwanamke unajiaibishajeee sasa. Hii mitandao mbona itatutokea puani. nimechungulia uko jamii forums!

  ReplyDelete
 11. Mambo ya kusema huyu mzuri kuliko huyu ni upuuzi tu. kila mtu ana uzuri wake..kama unamuona mwenzio mbaya mfungie chumba kimoja na mpenzio usiku mmoja tu, ndo utajua kati yenu wewe na yeye nani ni mzuri..nyooo!

  ReplyDelete
 12. hizi comment unalia nazo ugali? mbona unachelewa kuziachia jamani (viemoji please tumevililia miaka mingiiiiiii)

  ReplyDelete
 13. tukicomment unabania afu unasema tutiririke. nyonyo yako mxiuuu! umebania comments zangu mbili na hii si mara ya kwanza. Hasa nikimmention mtu fulani kwa mazuri. Kumbe bado una kinyongo nae duh! Safisha roho hiyo utakufa na kijiba cha roho. mfyuuu! bania na hii ila ndo ushaisoma.

  ReplyDelete
 14. Zari mama yake diamond wa hiari. Watu Oyoooooo, vibibi vizee kubemenda watoto oyeeee

  ReplyDelete
 15. jamani wadau naombeni msaada wa mafuta ya kupaka mwilini na usoni ngozi yangu ina mafuta sana na nina chunusi sana angalau ni kapaka mafuta makali ndio nakuwa vizuri, asa mafuta yenyewe siku hizi wamefungia nina mwaka sasa ngozi yangu haina mafuta imepauka ballaa na hili baridi la dar sasa na vumbi yaani nipo kama nina ngozi ya mzee kumbe nina 30. sintah hata wewe niambie mafuta gani unapaa mwanawane. dela nayaogopa nayaona makali sana sijajua cheupe kwa anaeyajua aniambie. nataka niwe mweupe kidogo sio sana. lakini pia na nywele zangu jamani nimshauri nipake mafuta gani na dawa gani maana nazo niliziacha kwa muda so sielewi habari za mujini kwa warembo ni zipi. tupeane habari wadau.

  ReplyDelete
  Replies
  1. sikushauri kupaka mafuta yoyote makali au whitening products.. huwa zinasawazisha kwa muda and after some time sumu inakuwa kwenye ngozi na ina react. Nawajua watu wengi tu waliotumia mikorogo ya bei wakapendeza baada ya muda wakajuta maana sumu ndio inaanza kureact. ushauri tumia queen elizabeth me pia nilikuwa na tatizo hilo nimetumia mafuta ya queen elizabeth japo niliogopa sababu ina mafuta mengi ila yamekubali sana. ngozi inapendeza kwakweli.

   Delete
 16. Hiv huyu penny wa dimondi hawezagi kupiga picha bila make up jmn au ndio kutojiamini

  ReplyDelete