asas

asas

sintah

sintah

MTOTO WA TAIFA AANZA DAY CARE.....

Sister Tiffa yupo busy na bag,je ni vizuri kumuanzisha mtoto shule (day care ya kwenda na kucheza)katika umri kabla ya miaka miwili? Ni kumkuza zaid akili ama? Ningependa zaidi wachangiaji wangekuwa wakina mama waliopeleka watoto wao shule mapema watuaaidie mawazo,hii ni kwaajili ya mama wote.

54 comments:

 1. Ila Tiffa jamani kanirithi mie hapa shangazi yake kanapenda kula Mashaallah hapo kabeba apple yake mwenye hana habareee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wazungu mtoto anaenda preschool akiwa mwaka mmoja na nusu pesa yako tu .Watanzania wengi HASWA hapa houston wanategemea daycare za serikali .CHILD support hawalipi .Vurugu tu .WATANZANIA MLIOPO USA ( No one racist country in the world) NI HERI MURUDISHE watoto bongo hizo daycare za watu weusi mtaishia kuwa na watoto wauaji na wanene .Maana hizo shule za waafrika weusi Mara 100 za bongo .Nawasikitikia

   Delete
 2. Naongea kama Mama

  1- Usifananishe maisha , Malezi ya watoto yanatofautiana kutokana na hali halisi ya maisha ya wazazi , kwa mfano wazazi wako busy , Baba Mwanamuziki , Mama Mfanyabiashara hakuna wa kushinda na mtoto home zaidi ya wadada wa kazi au ndugu , ni better umpeleke huko day care

  2- Kama Mama muda mwingi yupo home , anashughuli zake za hapa na pale tu , unampelekeja mwanao Day care ?

  3- Uwezo , huko day care ni another matumizi makubwa so na uchumu unachangia

  4- Kama Mama ni Mmbea kama Sinta au Mange au kichwanz muda wote kutafuta maisha ya watu ni bora umpeleke mwanao day care

  NIMEMALIZA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hahahaaaaa uwiiii!! uko sahihi kabisa mdau

   Delete
  2. early childhood development ni muhimu sana kwa maisha ya baadae ya mtoto, hasa kwa mafanikio ya baadae ya shule. Hivyo daycare na preschools ni sehemu muhimu za kupeleka watoto kama zinaendeshwa na wataalamu walio andaliwa kwa ajili hiyo.

   chunguza hela nyingi za misaada (donor funds) sahizi zimeelekezwa kwenye earlychildhood development maana imegundulika nchi maskini kama Tanzania watoto wengi wanakosa hizo fursa. Sasa basi hili likapelekea serikali kutoa tamko rasmi kwamba basi angalau kila shule ya serikali iwe na darasa la awali. angalia na curriculum mpya ya elimu ya 2015, inasema watoto kuanzia umri wa miaka 3 waanze kwenda hizo preschool. hii ni kutokana na hali tata ya uchumi ndio maana angalau miaka mitatu lakini hata chini ya hapo ni sawa kama unaweza.

   serikali kwakuwa haina wataalamu wakutosha kwa muda usio zidi miaka 3(if my memory saves me correct) ikabidi ianzishe vyuo maalamu vya ualimu vya ku train waalimu wa shule za awali tu. Vyuo hivyo vya serikali nchini havizidi 18. so bado hapa nchini ni jambo jipya.


   Delete
 3. Kesi ya Tiffa iko tofauti , kama mdogo wake anatarajiwa December si lazima yeye aanze shule kwa nguvu !

  ReplyDelete
 4. Ni vizuri kumpeleka mtoto day care kwa masaa machache ili kupanua akili yake na kupata michezo mingi zaidi na kuzoea kucheza na wenzie kuliko kukaa nyumbani na kuzoea mazingira ya nyumbani na watu walewale kila siku. Ila kwa mwaka mmoja bado ni mdogo sana, atleast miaka 2.5.

  ReplyDelete
 5. Mimi kama mzazi naona ni vizuri, kwasababu katika umri huo mtoto anatakiwa achangamane na wenzake hii itamsaidia mzazi kujua kama mwanae ana tatizo hasa la kiafya. Mazingira ya mtoto anapokulia pia yanachangia mtoto apelekwe kwenye hizi day care, unakuta wazazi wanaenda kazini mtoto anabaki na dada wa kazi je anajifunza kitu gani kutoka kwa dada wa kazi.
  Ila ndo upate day care nzuri sasa.

  ReplyDelete
 6. that moment when the number one and most wanted cyberbully master opens a case on her being bullied ha ha ha ha ha ha ha wonders shall never end

  ReplyDelete
  Replies
  1. mkuki unanoga kwa nguruwe tuuu.. he he heee.. chezea kuanikwa life fekerooo weyee lazima utafute fbi uchwara!

   Delete
 7. mie ni mdada lakin must nichangie hapa. kila mtu ana sababu zake.ukiwa na hela yako halafu ushatendwa sana na malez mabovu ya house girl mtu unaona kimbilio ni daycare.

  ReplyDelete
 8. ni nzuri katika kumchangamsha mtoto hasa pale mama mtoto kapata mimba nyingine. mtoto anahitaj kuzoea mazingira ya pekee

  ReplyDelete
 9. This is perfect for her.She will grow up intellectually and become responsible.Now that there is a baby on the way this is just perfect for her.Mine developed her speech so fast.She is 2yrs buts speaks like a sowing machine.Thumbs up to Zari.

  ReplyDelete
 10. Not bad idea but parents should atleast wait until two and half yrs before enrolling their young ones to creche simply bcoz it will avoid the child to get tired of school early n prepare them mentally n physically to adopt to the environment n do well as time goes.

  ReplyDelete
  Replies
  1. darling umeongea kinyume, daycare and preschool zina andaa mtoto for school readiness na siyo kumchosha, not unless umempeleka daycare au preschool ambayo ipo kimazoea badala ya kiutaalamu. inamfanya mtoto apende shule na siyo kinyume cha hapo.

   ukiona mtoto wako anachoka shule something is terribly wrong na hiyo shule, mhamishe. Tatizo shule nyingi nchini ziko busy ku concentrate on teaching bila ku pay attention whether learning is taking place or not. teaching is one thing and learning is quite another. Learning is suppose to be fun. ningekuambia umlete mtoto wako kwenye shule yangu ila nitakuwa natangaza biashara humu bila ridhaa ya mama mwenye nyumba hii.

   Delete
 11. hii yote ni zari kukomesha familia ya dimond na mwaka huu wamepatikana ila waganda shkamooni, kina esma walidhani ni mtanzania huyu wakuvumilia sekeseke kumbe ni kisiki cha mpingo

  ReplyDelete
  Replies
  1. She is living her life jamani hao wa kina esma watazeekea kwa kaka yao kwasababu hawana maisha.

   Delete
 12. TANGAZO: leo comment nitaachia saa kumi na mbili jioni. wenye mapovu yenu kapigeni mswaki kwanza.

  Mbeba pochi wa sinta.

  ReplyDelete
 13. Khee shosty ndo ana nywele za kihindi kama bibi yake au ndo mwenzangu namie hapa tunywele twa kuokoteza hehe! naona kama begi limemlemea hakunaga tubegi tudogo twa watoto wadogo zaidi?

  ReplyDelete
 14. Naona ni mapema sana, bado mtoto anahitaji harufu ya mama, hata pampers bado hajaacha!! How ukamuanike mtoto huko day care kwenda kubadilishwa na strangers?ni maisha tu yanapeleka mama kuanzisha mtoto shule mapema hivyo, lakini sio natural, miaka kuanzia 3 ndio right time, na hata mtoto akiwa nyumbani sio kukaa tu, kuna a lot of activities, educational videos, online pia kuna vikorokoro vingiii kwa watoto siku hizi,sijui colours, numbers, painting, singing, yaani you name it it's there, tuwape watoto time ya kukua kidogo, mwanangu alianza na 3yrs akiwa anajua kuhesabu, rangi karibia zote, shapes, rhymes, kuunganisha sentence in english na kiswahili n.k, hata alipoanza walishangaa hajaenda shule yoyote lakini anajua most of the stuff, lakini sio kichanga bado unaenda bwaga mtoto in the name of education!!! Big NO!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. mimi nadhani tunachanganya daycare na preschool, hivi ni vitu viwili tofauti.

   Delete
 15. NVHI ZILIZOENDELEA WAKIWA NA MWAKA MMOJA WANAANZA D.CARE NA NI SYSTEM YA EUROPE 1.INASAIDIA MZAZI ANAKWANDA KAZINI
  2.MTOTO ANACHEZA NA WEMZAKE AKIWA MWENYE UANGALIZI
  3.MTOTO ANAKWA ACTIVE.

  LAKUSEMA MTOTO ANAKUWA
  NAAKILI AU KUKIZA SKULL SI
  U KWELI INATAKA KUNAMBIA WATOTO WA MCHI MASIKINI HAWANA SKULL ÅH HAWAKUZA KIAKILI??
  TANZANIA ASILIMIA KUBWA WANAWAKE WAMAMA WA NYUMBANI UCHUMI MDOGO ,KULA SHIDA SASA UTAMPELEKA D,Care kufanyaje???
  UKIJA NA MADA ANGALIA UNAISHI WAPI NA SYSTEM YA MAISHA TA NCHI YAKO.

  ReplyDelete
  Replies
  1. we mwenzetu hatujui ulienda day care or no. ila ni una matatizo makubwa sana kwenye kuandika. halafu utakuwa uko Sweden wewe.

   Delete
 16. Wewe sinta wako uliwaanzisha na miaka mingapi? weka experience yako hapa kwanza afu ndio uulize na watu experience zao na mawazo yao

  ReplyDelete
 17. Mi ni team Wema na nampenda huyu mtoto sana.. malaika wa Mungu.. Kutokana na mama mtu kuwa mja mzito na tumbo lake kuwa kubwa ni sawa kabisa kumpeleka day care center.
  Day care zikiwa nzuri, watoto hulelewa vzr na huanza kujua kuandika na kusoma mapema na pia wanafundishwa adabu na kupenda dini..Pia huzoeshwa kujitegemea mapema... kwa kifupi ni nzuri sana

  ReplyDelete
 18. mtoto wa taifa la nyumbani kwangu ni mWanangu TRICE....we lini utasifa watoto wako?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mi mwenyewe nimeshangaa. mtoto wa Taifa la wapi? Uganda, Tanzania. pyuu

   Delete
 19. Hanithi wa kike Sinta. mbona hujasema wanao uliwapeleka day care lini. unawaficha kama umewaiba.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio nyie mnafanyaga watoto wenu matangazo kwenye profile mara insta.kwani umeambiwa watoto ndio wakuanikwa anikwa tu,Acha sintah aishi atakavyo binafsi mimi sionagi ishu katika hilo watu wenyewe mmejaa roho mbaya kama mange,hamkawii kutukana watoto wawenzenu mara wabaya,nyokoo kama wabaya jambawako atoke malaika kwenda huko,watoto sio matangazo.kuwaanika kutwa kwenye mitandao.sababu Wengine wenu mmejaa chuki nawengine mmejaa showing off.

   Delete
 20. Yani we Sintah nae akili ndo sijui ulipeleka wapi, mtoto mdogo ukamuite eti sister Tiffah!!! back to the topic, ni vizuri kabisa kumuanzisha mtoto shule katika umri huo ili akacheze na wenzake na anajifunza vitu vingi huko shule sio kama anaenda kucheza tu. pia anasaidia kwa mtoto ambae yuko peke yake kwao yan hana watoto wa kucheza nae so inamsaidia kupata wenzake wa kucheza nae

  ReplyDelete
 21. Kama mtoto 'UME-MBEMENDA' umebeba mimba nyingine kabla ya umri wake, ili asikusumbue wakati unapata 'kichefuchefu' mara kwa mara, hakuna njia nyingine zaidi ya kumuanzisha shule ili asahau kunyonya......NYOTA YA KIJANI INAWAHUSU!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ah ah una hasira na mama yako kukubemenda basi unafikiri kila mama ni malaya kama wako.

   Delete
  2. Poor u wakubemendwa na mzazi wako niwewe Hata ulichoandika tu kinaonyesha umedumaa akili mpaka umbo,shame on u.Huna akili pisha huko watu wanaongea malezi,ni sawa kabisa tiffah kwenda daycare kwa nchi za wenzetu ni kawaida sana kwa tz ndiowanasema ooh mtoto mdogo sijui nini,ni sawa kabisa Hakuna kulea watoto kwakuwaendekeza huyo ameshaanza kujifanyia vitu vyake mwenyewe,ni malez mazur akifika two yrs atakula mwenyewe mpaka nguo atavaa mwenyewe.

   Delete
  3. halafu hamna kitu kama "kubemenda" this is just a cultural concept , it's not scientific. Ni sawa na wale wanao sema ukikaa mlangoni ukiwa mja mzito utapata shida wakati wa kujifungua. Hizi ni imani tu, hazina ukweli wa kisayansi.

   Delete
 22. unakeraaa haya wikend kalale nazo hzo comments...........

  ReplyDelete
 23. but its ok kwa T kwenda shule acha akapate socialization na watoto wenzio km mama yuko bsy na kaz than staying na nast househelp

  ReplyDelete
 24. Its healthy kama ni daycare ya watu unao wajua maana wengine wanaajiri mijitu bila kuangalia qualifications wala criminal records zao at the end wanazuru watoto. Hapo Tifa atajifunza kusocialize na agemates pia huwa wanafundishwa etiquette in overall.

  ReplyDelete
 25. MWACHE TIFAA AKALELEWE HUKO HILI MAMA YAKE APATE MUDA WA KULEA MIMBA YAKE MANA ISHAKUWA KUBWA SASA. NA ATAKAPOKUJA HUYO MWINGINE DESEMBA BASI ITAKUWA NAFUU KWAKE MAANA KULEA MAPACHA WA NJE NAO SI MCHEZO.

  ReplyDelete
 26. WHY NOT? TO ME IT DEPENDS WHERE YOUR LIVING, HERE IN AMERICA KIDS GO TO THE DAY CARE 3 MONTHS SOMETIMES AFTER 6 WEEKS, YOU TALKING ABOUT TIFFAH?????? MOST OF MOTHERS WHO HAVE KIDS HERE IN AMERICA THEY HAVE TO GO BACK TO WORK AFTER 6 WEEKS THEN YOU TELL ME..........................................

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha ha ha! kweli kingereza cha America! Khaaaa unaishi jimbo wanaloongea spanish nini? si kwa english hiyo na kukaa kote Marekani!!

   Delete
 27. It's good idea for a child to be expose to this kind of environment early. It helps a child to work on social skills, cognitive, problem solving, sharing, especially she is about to be a big sis. Also it is improving their language skills, and help to be more independent.

  ReplyDelete
  Replies
  1. I second you, couldn't have said it better

   Delete
  2. You have said it all mdau. Umenikumbusha Lecturer wangu wa Psychology.

   Delete
 28. Mtoto anaweza kwenda day care from six weeks toka azaliwe. Hii ni hapa Marekani kwa hiyo huyo Tiffa ni mkubwa Sana tu

  ReplyDelete
 29. wangu alianza day care na 6 month hapa UK inategemea circumstances

  ReplyDelete
 30. sintah kumbe una watoto sio motto!!!! sasa kwanini unawaficha wanao jamani MUNGU hapendi ujue! Na hao watoto nao malimbukeni wanafichwa wanakubali kwanini unawanyima haki wanao my?? Sijakupenda hata kidogo kwa hili tena umeniboa sana. Wenzio wanalilia watoto wewe unawaficha umezaa na nani kwani hadi unafanya siri. Waache watoto hawana hatia

  ReplyDelete
 31. Wangesubiri atleast mtoto akafikisha miaka 2. nina watoto wa 4 na wote wameanza shule at 2 yrs na wanaendelea vizuri sana. ila nadhani wangesubiri akue kidogo atleast aweze kujitetea na kuweza kutamka baadhi ya maneno ambayo ni muhimu, unless otherwise its their kid they decide whats the best for her.

  ReplyDelete
 32. du vingereza vya humu mie hooiii afu watu wako huko huko uingerezani.

  ReplyDelete
 33. Mimi nilimpeleka mwanangu Day Care akiwa na mwaka mmoja na nusu. Nimeona tofauti kubwa sana kati yake na watoto wengine waliochelewa kuandikishwa Day Care. Mwanangu ana confidence, anaweza kujieleza vizuri na akaeleweka kuliko hata watu wazima wengine. Anaweza kuzungumza na watu wazima, na watoto wenzake na anajua tofauti. Anajua umuhimu wa time keeping yani kwenda na muda nk. Kwa vile ni mtoto pekee nyumbani, sikupenda kumuacha acheze na house girl five days a week. Kwa kweli namshukuru Mungu kwa kuniongoza kwenye kufanya maamuzi yale.

  ReplyDelete
 34. Ataachaje kumpeleka mtoto day care na yeye ni ma wa mwendo kasi anayezaa kila jumamosi

  ReplyDelete