asas

asas

sintah

sintah

OUT OF TOPIC DAY......

Dear Readers,

Mambo niaje niajeee  natumaini mnaendelea pouwa na mitikasi ya hapa na pale, je kuna ubuyu  wowote ili tujuzane maaana naona sasa ndugu zetu wapenda drama wamepunguza drama  mujini  au kwakuwa uncle Magu kabana kila pande za dunia? haaaaa ni shida hapa town basi kama una ubuyu wowote wa vimto utujuze na sie wenzio.

25 comments:

 1. Ubuyu ni birthday ya le sweetheart, princess, boss mtoto kufanyikia south ili kuwakata watu viherehere na kuzamia bila kualikwa. Nasubiri ya state house. kingine ni le simba kutoa mchango wa mil. 20 sijui wapi huko...mmh ubuyu usiokamilka haunogi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hawa ndio wenye pesa halali,hata Magu abane vipi haiwaathiri.

   Delete
 2. madrama Queen's hawafurukuti...

  ReplyDelete
 3. UBUYU NI WEWE SINTAH UNAUA BLOG YAKO KWA KUBANIA KOMENT. KAMA UPO BUSY SANA AJILI MTU AU FUNGA BLOG. UNABOA KWELI

  ReplyDelete
 4. Ubuyu wa Faiza kumtusi mke mwenzake, na Zari kufake Mimba pia Wema kaachana na Comedian wake, Lulu kushushuliwa IG kwa kupost pic ya mtoto wa watu!

  ReplyDelete
  Replies
  1. FAIZA ANAUMIZ SANA MAANA ALIMPENDA SANA SUGU,MBAYA ZAIDI SUGU HANA TIME NAE.

   Delete
  2. Huwa najiuliza hivi hizi social media zisingekuwepo inamaana Faiza angekuwa anaomba press conference ili amtukane X wake??? Mbona tuna mis use sana social media??? Yaani kuna vitu vinaandikwa huku mitandaoni mpaka mtu unaogopa kusoma. Badala ya kukazana kutangaza beachwear zake na filamu yake ya Mama drama unaanza kuporomosha matusi na kama yeye jeuri kweli kaifuta post ya nini kama sio kuchafuana tu?? kipindi kile kamuweka mtoto analilia kwenda saloon aliposemwa akaitoa fasta angeiacha hii kwa wiki tujue kweli kadhamiria kutukana.

   Delete
  3. Ubuyu wa Interview ya Gigy na Zama, Sinta tuwekee basi au bado haijawa uploaded youtube

   Delete
  4. Acha roho ya ushetani wewe utafulia mfululizo mpaka ushangae,zari ana fake mimba vp?tokalini zari aka fake mimba

   Delete
 5. Jamani maisha ya mitandaoni kweli 100% ni fake ivi dada wa open kinchen wewe sio ulituchamba mwanamke bahat uzuri hausaidii kama huna pesa ya kwamba mumeo kakupenda jinsi ulivyo mnene kaa simtank kulikoni kuanza diet lol tena na madawa juu ya kujipunguza unawadanganya watu geeen juice ndio inakukondesha vipi na yule shoga ako uliyetudanganya anasifia iyo juice inamkondesha mbona ameanza biashara ya majani ya kupunguza mwili nae anayatumia tupunguzeni fake life na tupende kukosolewa kila siku mwanamke kujiamini ukikosilewa povu linakutosha sasa unajiamini nini

  ReplyDelete
 6. Mweee zari anapendezajee na mimba, mmmmhhh huchoki kumwangalia...kwenzetu kajaliwa kizazi maaana ni panda mti kata mti mpaka akili zitukae sawa mwaka huu

  ReplyDelete
 7. Wewe housegirl wa zari ndo nini kukaa na comments siku tatu? Nini maana ya blog kama sio kuchambana kwenye comments? Msoonyooo...umejaliwa pua akili zero

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahahaha why haachii comment sijui

   Delete
 8. Mhh,jamani nasikia mmarekani kachotewa pesa ndefu ni kweli?

  ReplyDelete
 9. Ni kweli maisha ya mitandaoni wengi ni fake ukiiga inakula kwa mama open kitchen nakumbuka na screen shoot alituma kwamba mume anamwambia anampenda jinsi alivyo cha kushangaza kaanza diet kwa kisingizio et alishauriwa na dr tulikushauri ukajishaua kumbe msg ilikuingia eeeh hakuna mwanaume anaependa unene wa kihasara ukimwona hakuambia ujue anakujua hupendi kukosolewa kingine unene uliopitiliza kg 100 na kuendelea ni hasara pia kwa afya yako sukari presha na kila kitu vinakuwa vyako tujitahidi kula kidogo tubalance miili yetu hasa sisi wanawake tubalance kg zetu ukipita basi upite kg kidogo sio wewe unatakiwa uwe na kg 55 unakuwa na 100 na unene uliopitiliza nao hauvutii na zaidi inavyosemeka kitambi ndio kibaya zaid coz tumbo liko karibu na moyo tuelimishane

  ReplyDelete
 10. Ubuyu ni RUMMY kurudisha majeshi kwa bbymama NEYONCE na harusi soon.......hayawihayawi yamekua. Rummy nae kwa kupenda misifa so alikua anajidai ooh kiboko yangu #hakikankya#kibokoyangu imeishia wapi sasa?? Mujini kuna raha sana aiseew igunga sirudi ngoo

  ReplyDelete
 11. Naombeni ushauri wa dawa nzuri ya UTI pia nimechubuka katikati ya mapaja kwa joto nipake nini

  ReplyDelete
 12. Ivi faiza ally ana matatizo ya akili uwiiii sugu fanya namna umchukue mwanao uyo kahaba mzee tumwone kama ajatembea uchi ivi hana ndugu maragiki zamaradi uyu ndugu yenu mpelekeni kwa dr wa saikolojia ikiwezekana na kwa dr wa vichaa apimwe akili inamaana toka aanze kujiuza hajawai kufirwa au ana nyege anatafuta wa kuzimaliza cha kushangaza toka umeachwa na sugu hakuna mwanaume anaekutaka ndio ujue una mapungufu sana na ata ao wazungu unaowauzia watakuchoka hakuna mtu atakaeweza kuvumilia ujinga wako na ulivyo na bahati mbaya elimu huna shepu huna sura huna tunakupa miaka 5 lazima uwe kama bibi wa miaka 80 na siku umebugi sugu akachukua uyo mtoto ndio utashika adubu hakuna mwanaume anaweza kutoa ata mia kukununua we kitulize stres azisaidi na ata ungepiga kelele aje sugu awezi kukurudia ata ungemchafuaje utaendelea kuwa na izo ndoto za kurudiana unatia huruma unatamani sugu akurudie ata kwa lisaa limoja kama ana kibamia mbona kutwa kumlilia

  ReplyDelete
 13. Nina ubuyu wa mchepuko wa hamisi rubani looh mbwa sana yule kaka na kidem chake kinachojiitamba kwa kuitwa mrs iwe fundisho kwa wanawake msiuesemee moyo wa mister wako utaja lia haters haters haters ka Mama Sway unalalama kila siku mume mwenyewe pesa hana kawaringishie wa-arusha wenzako si watoto wa town tunakucheki tu kwi kwi kwi mjini sihami ila wanaume wa dar mtaja ua watoto watu na chupi zenu mkononi kwi kwi kwi wapi cheupe dawaaa kwi kwi kwiiiiiii he he heeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kadunia kadogo Cabin Crew huu ubuyu niliutoa mimi ofisini huhuhuhuhhhu nimeshakujua dunia ndogo ila huyo rubani wa mchepuko sio huyo shogaaa wasalimie uko zanzibar

   Delete
 14. Hv sinta huon blog imepooza unavyobana comments!! blog n comments my dia daahh!!

  ReplyDelete
 15. Cabin crew wa mwendokasi utawajua tu mwacheni kaka wa watu hana makubwa unajua kama anamiliki ndege zake mwenyewe mbili na zina jina lake! Nenda terminal one utazikuta.sio kila mtu ajitangaze na kwa taarifa yako ashamuoa huyo mama sway hayawani mkubwa we

  ReplyDelete
 16. We dada wa terminal 1 unayejiita cabin crew unachanganyaga sana habari kila siku mtu akileta ubuyu terminal 1 unauleta uku afu unalazimishia kwa uyo kaka maskini sijui alikuacha sasa nakwambia tushakujua kesho usikanyage ofisini mnafki weweee kujifanya umeokoka kumbe fyuu

  ReplyDelete
 17. Ndege iko grounded miaka 10 sasa neema acha kumpaisha bwana ako karibu kwa sinta kumbe unapitaga humu, nipe flyt kwenda arusha nikuoneshe mbilikimo anaekusema sema me nipo coastal pale dirishani basi nipige tafu najua anakusumbua

  ReplyDelete
 18. nanyie nanyi ya maofisini mnayaleta humu. Watu wazima ovyooo wafanyakazi mlokosa uaminifu. mfyuuuu!hovyooo!

  ReplyDelete