asas

asas

sintah

sintah

WEEKEND GETAWAY

Mummylicious weekend out of town

20 comments:

 1. PENDEZA SANA SHOSTI

  ReplyDelete
 2. Nimependa picha ya kwanza. Umetokelezea mbaya

  ReplyDelete
 3. Hiyo picha ya kwanza sinta hapana kwa kweli umezeeka. camera na nywele zinaficha mengi.

  ReplyDelete
 4. Huyo shoga ako wigi limechoka khaaaa bora angebaki upara.

  ReplyDelete
 5. Hivi unahabari,mbona zipo nyingi tuu tena zenye viwango!!sio kila uchao ni familia za chibu,ndo maana makampuni ya simu hayakupi udhamini.Badilika

  ReplyDelete
 6. wewe sinta unajibu mwenyewe nimetuma 5.25am hiyo msg haikutoka ila ukajibu 5.29am.Habai za uwapendao na kuangalia bukta yako ya kubip.

  ReplyDelete
 7. wanadamu hamna jema, asipo weka habari zengine mnamsema, leo kaweka za kwake na mashost zake pia mnawachambua kama karanga...binadamu badirikeni aisee.. tusiwe wakukosoa kusoa tuu kila kitu some times lets just appreciate....sintah hope you had a great time you and your mumylicious bffs.....

  ReplyDelete
 8. Sinta hapo ni ndoto polepole kiwanja poa sana

  ReplyDelete
 9. wallahiiii umependezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........kwa mara ya kwanza umependeza munooooo.yan umenoga jamanii kuanzia nywele uso nguo and mapoziiiiiiiii

  ReplyDelete
 10. achia comment na habari huna tunaangalia tuu bukta za wadada 3!!

  ReplyDelete
 11. Sintah hapo ni wapi nimependa mandhali nataka siku moja niende la kipenzi cha moyo wangu nikatulie nae jaman

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hapo ni ndoto pole pole iko ukipita bunju km unaenda bagamoyo

   Delete
  2. asante Anonymous 10:48AM nitapasaka nimehis kupapenda na kunaonesha ni sehemu tulivu

   Delete
 12. Miili yenu tu sasa na vibukta vyenu wenyewe... bwahahahhaahaaa

  ReplyDelete
 13. Sintah nakuona upo na VIKONGWE WENZIO. MSURI UMEKOMAA NO MVUTO.

  ReplyDelete
 14. mkorogo sasa!! duu\\

  ReplyDelete
 15. DAAH! TEGE SASA LA MADAM SINTAH! NAONA PALE UNAANGAIKA KUJINYOSHA NYOSHA MLONJO WAKO. NAFWAAAAZ

  ReplyDelete
 16. nilijua wanakusingizia kukuita nyampua, ila nimeprove kwenye picha ya kwanza, pia manyonyo makubwa kuliko kichwa

  ReplyDelete