asas

asas

sintah

sintah

HONGERENI DIAMOND NA KIBA

Hongereni sana wasanii wetu kwa kutuwakilisha vizuri,kwetu sie nyie ni washindi tayari endeleeni kufanya music wetu ukuwe zaidi na msife moyo na majungu,pambanenii.

2 comments:

  1. Kwani Kiba na Diamond ndiyo Wasanii pekee waliokuwa wanawania Tuzo? Wapongeze wote wewe. Acha ushabiki maandazi kuelea juu ya mafuta

    ReplyDelete
  2. Hapa kazi majungu no!

    ReplyDelete