Monday, February 04, 2013

HARUSINI VIDEOS


                                                                                
14 comments:

 1. sintah nimeangalia harusini na sintah yaani nakukubali sana wewe upo juu safi sana nimekupenda bure

  ReplyDelete
 2. Sinta rafiki yangu tafuta mtu anayeelewa huyo msukuma haelewi kitu hata kiswahili hajui utaabika wewe jamani

  ReplyDelete
 3. sintah mama tuwekee basi vipindi vingine pleeeeease..

  ReplyDelete
 4. sintah mpenzi mbona hutuwekeivipindi vingine jamani?

  ReplyDelete
 5. sintah mommy plz tuwekee vipindi vingine plzzzzz

  ReplyDelete
 6. sintah plz tuwekeeni vipindi vingine

  ReplyDelete
  Replies
  1. sinata usipake mkorogo urembo sio mkorogo ndugu yangu nakufahamu vema mwanzoni hukuwa hivyo

   Delete
 7. nakuomba usijipake mkorogo mbona ngozi yako ilikuwa nzuri sana sasa huo weupe umetoa wapi nakufahamu hukuwa hivyo ulivyo sasa tatizo nini mbona wewe ni mrembo acha mkorogo tunakupenda sinta

  ReplyDelete
 8. sinta tunakupenda lakini punguza kupaka mkorogo kwani ngozi ni nzuri sana mimi nakufahamu hukuwa hivyo hata badirika urembo sio mikorogo

  ReplyDelete
 9. Sinta nakupenda usipake morogo mbona mwanzoni hukuwa hivyo?

  ReplyDelete
 10. sinta usipake mkorogo mbona ngozi yako ni nzuri sana urembo sio mkorogo

  ReplyDelete
 11. Sinta usipake mkorogo mbona ngozi yako ni nzuri sana nakufahmu mwanzoni hukuwa hivyo kabisa badirika urembo sio mkorogo mpendwa wangu.

  ReplyDelete
 12. sinta usipake mkorogo urembo sio mkorogo nakufahamu vema mwanzoni hukuwa hivyo hata badirika urembo sio mkorogo mpendwa wangu

  ReplyDelete
 13. Wow hongera sana kwa kipindi chako. Nitakiangalia kwa muda wangu ili nisipotozee utanzania wangu.
  Unakaribishwa pia kunitembelea kupitia:
  tzandusfashion.blogspot
  dailylifeandliving.blogspot

  ReplyDelete