Thursday, June 06, 2013

MTANZANIA KUNYONGWA IJUMAA HII MISRI?!!!


Taarifa  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu(Pichani hapo Juu)  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii kwa  kukamatwa  na  madawa  ya  kulevya huko Misri

Msichana huyo anayejulikana kwa jinaFatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya nchini Misri. 

Picha zaidi za Fatma akiwa ktk maisha ya kawaida ni hizi hapa chini....
Habari zaidi za tukio hilo tutaendelea kuwaletea ktk blog hii ya watu...


 Pichani hapo juu ni fatma akiwa na Mwanae na akiwa na Mpenzi wake.

CEO.

59 comments:

 1. Lilian Nyakisinda nasikia kakamatwa Paris. Watanzania mna matatizo huku Sweden mademu wengi unga unga ndio biashara yao

  ReplyDelete
  Replies
  1. Cleopatra seki nae

   Delete
 2. MBONA UMETOA POST YA D, UNAOGOPA, UNAJIDAI MTAMBO WAKUREKEBISHA TABIA HUNA LOLOTE MAMBO HAYO MUACHIE MANGE YULE JEMBE HAOGOPI MTU NA JESHI LA MTU MMOJA KAZI KWENU MAMBURURA

  ReplyDelete
 3. Huruma jamani,msichana mzuri hivi na bado mdogo wanamnyonga,serikali haiwezi kunigotiate na serikali ya Misri jamani? very sad

  ReplyDelete
 4. Jamani !!jamanii!!!watoto wa mujini acheni mambo hayoo,loh namuonea huruma mwanae tamaa mbaya jamani,kubalini maisha yenu.

  ReplyDelete
 5. Hivi Mtu huwezi Kunywa chai na mkate uka relax .lazima mvae desighner mashindano ya ajabuajabu.Pesa nzuri ya kutolea jasho.
  Nenda kazini lipwa mshahara kula jasho .halafu you are a mother kwa nini ulee mwanao kwa Pesa za madawa

  ReplyDelete
 6. Du maskini mtoto wake ndo namuonea huruma .mimi kama mama mtarajiwa.jamani. Wakina dada wenzangu. Mnaojiusisha Na biashara yasembe acheni.naomba tuwaweke wazi mapunda woote na wauzaji wote.minikianza na wangu muhogo.Lilian nyakisinda nae ameshikiliwa Na polis paris.minilijua umeacha lilian ndgo yangu .mtu mwenyewe ndo kwanza umepata pamit yakuishi sweden yakikimbiz.hata miaka 3bado.jamani muogopeni Mungu.unga unatesa watoto wawatu.Linda itabidi uache sasa maana shogako Lili ndohuyo paris.jamani msinione naongea saana naumia maana. Kakangu madawa yalimtesa sana kijana mdgo sana.akapelekwa rehab.ninauchungu saana.wapendwa wangu.tuungane kuwapiga vita hawa watu wote.anzia mapunda nawauzaji.huu ndowakati.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asiesikia la mkuu huvunjika guu..kimenukaaaaa Swedeeennn

   Delete
  2. Lilian Nyakisinda ungemsikiliza kaka hako ya singekukutasiku zote ulaya ndugu yako ndio shoga hako.SASA UMeingia sweden kwa pupa matokea yake yamekutokea puani.Makaratasi yenyewe ya ukimbizi bado unakwenda kuiba madukani kesi yako ipo polisi wewe na l hivi pia ulikuwa na kibarua chako.Sasa tamaaa gani imekupata paka ukaenda kubeba ngano.Hivi wazazi wako wakisikia.

   Delete
  3. MMMMMMMMMMMMM makubwa kweli pesa za ngano aliingia bongo kwa mbwembwe zote.Zimeishia ukingoni mdau hiyo pointttttt.Du Lilian NYakisinda pole Utajiri wa haraka hauji hivi ndugu yangu.Kwanza ungemshukuru mungu ulipata makaratasi kwa njia nyepesi ya kikimbizi sasa hukaona haitoshi bado mwizi wa madukani hili facebook huonekane umependeza mashoga zako bongo wakikuona uonekane umekucha haya sasa wewe na mumeo HAMFREY wote mmeishia jela.

   Delete
  4. huyu lilian nyasuni nyakisinda nasikia mwizi wa madakuni tena ya nguo yeye na linda waogopeni msione wamevaaaa wakapendeza wezi wakuotea mbali.wanamakesi kibao polisi sweden unga wao nguo za wizi wao bangi wao

   Delete
  5. Mwizi wa MADAKUNI eeh!????

   Delete
  6. Ndi mdahu kwani hujui sweden nzima wanajulikana kwa wizi

   Delete
 7. we hujaenda msibani??loh

  ReplyDelete
 8. Sintha number yako mbona haipatokani nijibu email basi kama haiwezekani nicheck ustaarabu mwingine

  ReplyDelete
  Replies
  1. Niko China.. Namba yangu huku ni +8613025132351

   Delete
 9. kwani hata ile harusi ya shoga juzi bwana si muuza unga nenden mtaa wa ......... msome comment jaman watu wanajua story za watu mama amama mama uwiiiiiii hivi watu mnajua kunusa nilisoma mpaka nikaumwa macho

  ReplyDelete
 10. Mmmh!! Mbona hii taarifa ya hyu dada kila mtu ana lakwake?mara sio mtanzania,mara sijui hanyongwi tena anafungwa 18 years? Hatuelewi jamani!! N way ol in ol hz hela na haya maisha tunayoyataka ya kuigiza ndo yanayotupeleka kote huku!! Let's hope serikali ya tz itaingilia kati akapata ahueni kidogo...angalau hata aje afungwe tz...maana huku hamna adhabu ya kunyongwa!!I feel pity for the child alivyo mzuri...n she ends growing without a mum...#very bad#....

  ReplyDelete
 11. Lilian nyakisinda ulisha semwa sana mbaka hapa kwa sinta sasa yamekukuta jamani tamaa za nini hizi nyie watu jamani naww linda na mwezio fortunate ndo mpate fundisho mtaishia pabaya

  ReplyDelete
  Replies
  1. Richard mziray next

   Delete
  2. Acheni kuchafua majina ya watu!una uhakika huyo Richard anauza madawa?

   Delete
 12. Haya sasa lilian Nyakisindq ulikanywa ukusikia pesa ya haramu imekuponza ungetulia na kakaI kako uyo linda na fortunate aiku zenu zinakalibia mnatuulia watoto wetu

  ReplyDelete
 13. LINDA unahaha kumtafuta shoga ako wakati unajua fika we ulieleka na mwenzio nae akabeba sembe lake sasa mwaka wenu huu lazima wote mnao uza muishie pabaya nyie mmekuja sweden mmepata urahia kama wakimbizi sasa mnaleta jeuriiii mnarudi bongo sasa

  ReplyDelete
 14. Watoto wa sweden mnatutia aibu jamani mbaka aibu kusema we mtz na mwingine yupo bongo juzi tu kapeleka sembe South. Mungu atawafichua

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyo alieko bongo nilijinga kabisa ,eti likacha kufanya kazi sweden yakupika bugger,likamua kurudi bongo makaratasi yenyewe kapewa na miriam andunje,amshukuru saana,angekuwa hana kibali adi leo.hovyooo.anaenda south kuuza unga unadhani hatujui ,wee haya utajajuta badae utakapo ozea jela nawewe soon.unasingizia kufungua kaduka uchwara temeke hiyo zugia tuu ilampango wako woote upo open biashara ya sembe kweupeee.

   Delete
  2. Aaaa, duh e bwana eeeee...

   Delete
  3. Kisa kakaa sweden na yupo bongo yake yanamuendea eti anauza unga acheni unafiki na sheria akupewa na uyo andunje wenu kama mlivyo zaniii! Sio kila mwenye mafanikio anauza hiyo sembe jamani eti kiduka uchwara mbona wewe hauna ata cha kuzuga! Atawaumiza sana roho haters

   Delete
 15. na shamimu mume wake je?? na tayari tushawahabarisha wahusika, huu mwaka hauishi

  ReplyDelete
 16. so sad jamani,ana kitt kizuuuuri

  ReplyDelete
 17. Sinta vitu kama hv ni muhimu kila mtanzania aelewe athari za hiyo mihadarati...usibane comments if ur real n true kws wote coz sio ww unaecomments its hurt kuwapoteza vijana wengi kwa hizo sembe....na watapotea wengi na kulamatwa wengi mwaka huu..pia na watafariki wengi kwa ajili ya sembe....najua wananogewa na hiyo mipesa hawasikii...one day mtaumbila pabaya saana wanawake kwa wanaume mnaojishirikisha na hiy midude...vilio vya kina mama wengi vimesikika machoni pa bwana...nw its pay back time.....SINTA WHAT IS THE MEANING OF U INTRODUCING HEADING THEN UNABANA COMMENTS ARE U AFRAID OF SOME ONE?WHERE IS SINTA I USED TO KNOW...MADAME UR BLOG ROCKS COZ UR TRUE BT KAMA UNABANA COMMENT KWASABABU SHOGAKO KATAJWA AU NN PLEASE BE REAL LETS PEOPLE EXPRESS THEIR FEELING HASA KATIKA MADA NYETI KAMA HII..JANA TEMPOTEZA KIJANA BECAUSE OF THE SAME SHIT..MY BROTHER IS IN BAD CONDITION BECAUSE OF THS..AND FATMA IS DYNG BECAUSE OF THIS..REAL ITA HURTS WHOEVER CREATED DRUG ULAANIWE IHATE U....SINTA PLEASE LETS PEOPLE COMMENTS..U WILL BE BLESSED....HUWAGA SIO MCHANGIAJI BT LWA HILI WE NEED TO DISCUSS WHY,..

  ReplyDelete
 18. VIJANA NA TAMAA ZA MAISHA

  ReplyDelete
 19. R.I.P MANGWEA..... Hawa jamaaa watuharibia taifa pasipo kujua nguvu kazi ya taifa ni rasilimali watu, hivi mnaenjoy kuona kak zetu na dad zetu wanabembea eee wamejaa madonda kwa kujidunga meno yoote yameisha mdomoni,vijan awa miaka ishiri kibogoyo hii laana sijui mtaibeba na nani, mimi naomba kwa Mungu hawa wauza unga wote huu mwaka na ujao uwe wao KUAIBISHWA,KUKAMATWA NA KUFUNZWA ADABU.....MAISHA FEKI YAKUISHI KAMA MAPANZI MKISIKIA HONI TU MNAKIMBILIA DARINI MXXXXMUUUU

  ReplyDelete
 20. USTAA NI FULL MAJANGA..Halafu ukiwaangalia hawa wauza sembe hata maisha yao hayana furaha zaidi ya kuendesha magari mazuri,kuweka heshima baaa hawana furaha kabisa...muda wote wanakaa tako moja kuhofia kukamatwa what a xxxxxx life? Lord have mercy

  ReplyDelete
 21. Sinta watchout huko china ulipo hal hala nawe usijetiwa kitanzi manake nanyi hamueleweki ...ANGALIZO tU

  ReplyDelete
 22. MBONA UNAMINYA SANA COMMENTS? Ebooo.POST SI UMEWEKA WE MWENYEWE..

  ReplyDelete
 23. WALAANIWE WAUZA UNGA WOTE NA VIZAZI VYAO VYOTE...AMEN

  ReplyDelete
 24. SINTA ARE U AFRAID OF SOMETHING?IF UR REAL USIBANE COMMENT.....PLEASE LET PEOPLE KNOW ABOUT N THING CONCERNING THS PROBLEM..MAY B ULITAKA NA WW UONEKANE UNAJUA KUHUSU ISHU YA HUYO DEMU COZ INSTAGRAM WASHAPOST NA KUSEMA VITU TOFAUTI KUHUSIANA NA HUYO MTU.....WW UMWTUJIA NA EVIDENCE ABOUT HER SOCIAL LIFE HAPO JUU...SO HII BLOG NI YA NAN NW...UR NOT JESHI LA MTU MOJA N MORE....WHY UNAFUMBIA...WW SIO MCHANGIAJI LETS PEOPLE COMMENTS......UNABANA COMMENTS INASAIDIA NN KAMA KWELI UNAUMIA JUU YA HUYU BINT NA VIZAZ VIJAVYP THEN KUHUSU HII MADA USIBANE WAONE HAYA NA WAJIFEEL GUILT WOTE WASHENZI......REAL UNANIDISAPOINT AU KWAKUWA IVON NI RAFIKI YAKO NA MTU ANAYEMUWEKA JINI NO MUUZA SEMBE?REAL ITS HEART NA SIJUI NI WAPI TUTAEXPRESS WHAT WE FEEL THOUGHT UL BE KUBWA LA MAADUI BT MAYBE TZ WOTE WANAFIKI...

  ReplyDelete
  Replies
  1. anabana sana koments sijui wamemtishia uhai..mbona za huyu nyakisinda unaziachia tu ka sio roho mbaya ni nini. usiachie basi na za huyu umemuona yeye ndo mnyonge wako eeh!!!boriiing!!bania na hii sasa ufurahi na mtima wako..

   Delete
 25. Vipi ashanyongwa huyu mwenzetu?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wabeba unga sijui sembe njia zote zimechafuka sasa atakaejifanya kichwa ngumu ujue kaisha jela miaka 7 then kwenu sheria imepita uero yote kuanzia jana.
   Visa sweden pass ya tanzania lazima usachiwe sana na ole wako uzalau.
   Kuna msichana anaitwa aghata chengula na watz waishio sweden ndio wamechoma hizi ndio zote na majina yote yapo na mengi tu yapo polisi na njia za ufungaji wa uho unga.

   Delete
 26. Nyakisinda, humfrey mwagama, wafungwa jela miaka 8 kila mmoja na wakitoka uraia awana.
  Kuna zaidi ya watanzania wahishio sweden wamekamatwa kwa unga na wapo jela.
  Na mbaya zaidi kila anaekamatwa anataja watu zaidi ya 8 na majina yote ya waliotajwa yapo.
  Sasa hivi popote usafilipo ukiwa na pass ya tanzania na unavibali vya sweden lazima begi lako likaguliwe.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdau asante kwa kutukhabarisha..stay blessed

   Delete
 27. AISEE NCHI INATISHA SAANA JAMANI ,WATANZANIA SASA HIVI WANABEBA SEMBE KUZIDI HATA WAPOPO SASA,EE MUNGU TUSADIE NAHAWA WOTE WAKAMATWE WANYONGWE KABISA,YAANI MIMI NINAISHI SWEDEN SINAAMANI TENA NA WABONGO WOOTE SIWAAMINI HUKU SWEDN KILA MTU KIVYAKEVYAKE MAANA MAMBO YAMESHAKUWA SIO, LINDA BADO WEWEE,NA KUNDI LENU HILO MNAVYOPENDA KUTANUA NA PESA ZA SEMBE MH HAYA BWANA ZAMWIZI AROBAINI SHOGAKO NDIO HUYO KASHANYEA DEBE SASA,

  ReplyDelete
 28. Leo nimesafili toka sweden kwenda ufaransa nimepekuliwa begi langu na mbaya zaidi nikaenda kupigwa mpaka kioo tumboni sikuwa na chochote.
  Nikawaoji wakasema watanzania wengi wa sweden wanatumia vibali vya sweden kubebea unga.
  Na wakaniambia zaidi ya watanzania 21 wapo jela na sasa hivi yoyote mtz lazima asachiwe sana na ata ikiwezekana kupigwa kioo.
  Hii ni oparation ya uero yote na huu mwaka wote watakua makini kwa security nje na ndani na mpaka hotel za karibu
  Sasa ndugu zangu tusikubali kupoteza maisha kwa uero 4000 ni aibu kwa taifa letu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau umesevu, nawewe ungebeba ungepokelewa na nyakisii ndani ya pariiii..hahaha eti ukawahoji, ka nakuona manake ulikuwa unajiamini mwanawane..

   Delete
 29. Ahsante kwa habari jamani msibebeane mizigo wengine roho mbaya unazani anakupa mzigo upeleke bongo kumbe sembe kwanzia leo mtu akikupa mzigo kataaaaaa hata kama rafiki wako wa karibu kataaaaaaa sweden kumeingiliwa sasa na watu. Bado muhangaza muogopeni kanijifanya mpole.MCHAWI

  ReplyDelete
 30. mbona ni huyo nyakisinda tu mmemuandama.wauza sembe na wabebaji sembe mbona ni wengi tu,mbona hamuwataji au chuki binafsi.na wanawapa hao punda mizigo wako huko bongo tena watoto wa mafisadi,mbona majina yao hayamo humu au unaondoa komment wewe sintah.

  ReplyDelete
 31. watajeni tuwajue jamani ,hawa waliokuja nchini juzi juzi wanatuaribia jamani kama mmechoka na maisha rudini tz mkalime

  ReplyDelete
 32. muhangaza mpenda kukatia kia vitoto vidogo wakati lishafika 40 huku sweden karudishwa miaka nyuma jamani muogopeni yule mtoto wa rangi tatu,mwanga yule aka mchawi mtoto shetani yule ana marafiki kwa kumuogopa hile nyimbo yake walimwengu alimwibia rafiki yake mpenzi kaandika si akaenda bongo kajifanya yake kumbe sio yake tapeli kuimba alijui

  ReplyDelete
 33. Najua manabii ni wengi ooh!! Nyaki Nyaki.... Agatha unauchungu na nduguzo wanaoozea jela kaka zako wadamu na acha kuzuga eti kakako yupo rehab!!! Ww mwenyewe muuzaji sema wenzio wananyea debe ndo mana maneno hayakuishi na ukimwi wako mfyuuuu..

  ReplyDelete
 34. KILA MTU ANATAARIFA ZAKE JUU YA HUYU BINTI. YATUPASA WATANZANIA KUJIFUNZA KUPITIA HILI NI HATARI MNO.

  ReplyDelete
 35. kumbe mnawajua kwa nini msiwapeleke polisi mnakazi ya kuwasema na kulaaum kweye mitandao wawekeni wazi hii ndio msaada wao mnajidai kuwaonea huruma ooh

  ReplyDelete
 36. Jamani huyo linda mbona amumtaji jina LA baba yake tumjue

  ReplyDelete
 37. KWA HIYO SISI TUFANYEJE SASA?

  ReplyDelete
 38. Wauza unga wanavuna walichopanda,arobaini yao ndo hii

  ReplyDelete
 39. tanzania amajunguuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 40. majunguuuuuuuuuuuuuu tz

  ReplyDelete